INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

FB_IMG_1610350240854.jpg
 
Wakuu kuna mabadiliko kidogo kwenye bei ya miche ya machungwa,hii ni kutokana na uhaba wa mbegu za machungwa,na kuzipata pia imekuwa changamoto
Miche ya machungwa itauzwa kwa sh 2500 na sio 2000.
Asanteni na karibuni
 
Miche kuanzia mingap mnatuma?
hata ukihitaji miche 2 tunakutumia boss.Ila tunashauri mteja angalau achukue kuanzia miche 10 ili aitendee haki pesa yake ya nauli kwa pacel
 
kwa space ya 8*8m katika eka moja unahitaji miche 77 ya miembe.

Kwa space ya 7*7m katika eka moja unahitaji miche 100 ya miembe.

Maua huanza mche ukiwa na miezi 3-4

matunda huanza mche ukiwa na miezi 6-8

Aina za miche ya miembe inayopatikana katika bustani yetu ni:

Kent
Alphonso
Bolibo
Dodo
Red indian
Tommy
Applemango
 
Space 8*8 miche 76 kwa eka moja
Mavuno baada ya miaka miwili na nusu mpaka mitatu

Miche ya Parachichi inayopatikana kwenye bustani yetu ni
1.Parachichi Hass,mche sh 2500
2.Fuerte,mche sh 2000

parachichi Hass lina ganda lenye vipele.

Parachichi Hass lina mafuta mengi na hutumika zaidi katika viwanda vinavyotengeneza mafuta na vipodozi.

Kwa wafanya biashara,parachichi Hass linavumilia hata likisafirishwa umbali mrefu haliharibiki
 
Fuerte.
Hili halina mafuta mengi

Pia ganda lake ni jembamba

Fuerte likiiva ganda lake halibadiliki rangi,bado linabaki na rangi yake ya kijani
 
Kila siku nitatoa kwa uchache maelezo muhimu ya awali ya miche yetu ya matunda inayopatikana kwenye bustani yetu iliyopo ndani ya chuo kikuu cha kilimo SUA

Karibuni,Lily loves you all😍
 
n
Space 8*8 miche 76 kwa eka moja
Mavuno baada ya miaka miwili na nusu mpaka mitatu

Miche ya Parachichi inayopatikana kwenye bustani yetu ni
1.Parachichi Hass,mche sh 2500
2.Fuerte,mche sh 2000

parachichi Hass lina ganda lenye vipele.

Parachichi Hass lina mafuta mengi na hutumika zaidi katika viwanda vinavyotengeneza mafuta na vipodozi.

Kwa wafanya biashara,parachichi Hass linavumilia hata likisafirishwa umbali mrefu haliharibiki
Naweza kupata MAKADAMIA boss
 
Back
Top Bottom