INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Ndio boss.
Tofauti ipo kwenye size,giant passion ni kubwa Sana kulinganisha na passion za kawaida.

Pia passion za kawaida zipo kwenye makundi matatu.
1.Red Passion
2.purple Passion
3.Yellow passion

Giant passion zipo za Aina moja tu
Nitakupigia🙏🙏🙏
 
Heri ya mwaka mpya wa 2024

Asanteni Sana wateja wetu kwa kutuamini Kwa kipindi chote cha mwaka 2023,hakika mmekuwa baraka kwetu.

Lakini pia niombe radhi kama kuna mahali tulishindwa kutimiza wajibu wetu ipasavyo...

Mwisho,tuna ahidi kuendelea kuwahudumia Kwa moyo wa upendo na uaminifu usio na kifani,kwetu utakutana na customer care iliyo bora zaidi.

Lily Loves you
 
Location
 
Mbali na miche ya matunda je mnasaidiaje wafugaji kwa mahitaji yao ya majani kwa ajili ya malisho?
Mna nyasi pia? Au kwa mfano Juncao grass
 
Mbali na miche ya matunda je mnasaidiaje wafugaji kwa mahitaji yao ya majani kwa ajili ya malisho?
Mna nyasi pia? Au kwa mfano Juncao grass
Boss Sisi tumejikita kwenye uzalishaji wa miche ya matunda na mbao Pekee.
Kuhusu mifugo,kuna department ya Agriculture wana deal na masuala yote ya kilimo na ufugaji
 
Nitafurahi kukuhudumia
Hello! Salama?

Natafuta miche ya Tamarillo
Mnaweza kuwa nayo?

1709748332437.png
1709748332437.png
 
Tufaa mche mmoja sh 2500
Zambarau sh 2000
Mkunazi(large size)15000
 
ukinunua miche kwetu yenye thamani kuanzia shilingi elfu 50 na kuendelea,unapata bonus.
karibuni sana
 
Back
Top Bottom