Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Angalau alikuwa mbele kabisa akiongoza maandamano badala ya kushawishi watu watoke huku yeye akiwa nyuma ya keyboard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuvaa nguo basi kwakua zilitengenezwa na wazungu. Vaa magome ya miti.Kwani lazima tufanane na ugiriki 😂😂
I see. Watake radhi kina Mbowe.CCM badala ya kuiba kura wamelawiti uchaguzi!
Hoja dhaifu hii futa, mbona hufanani na mfano ulio utoaAcha kuvaa nguo basi kwakua zilitengenezwa na wazungu. Vaa magome ya miti.
Mbona watoto tupu?
Kwa nini niwatake radhi akina Mbowe?Kwani uchaguzi ukilawitiwa ni akina Mbowe peke yao wanaathirika?Unaelewa kuwa uchaguzi ukilawitiwa anaathirika kila mwananchi mpenda haki bila ya kuangalia ni wa chama gani hata kama huyo mwananchi chama chake ni CCM?I see. Watake radhi kina Mbowe.
Hii sio video ya Zanzibar.
Ulishawahi kujiuliza uyo anakupa wewe order ya kudhulu wengine kwann asifanye iyo dhulma yeye mwenyewe?!! Kwann awape order wewe na wenzako ya kudhulumu maisha ya waafrika wenzako?!! Siku ukipata hayo majibu.. basi utakuwa umejitambua!!Andamana...... TUGAWANYE miguu na Kiuno
Tushapewa ORDER... Tuna hamuuu mno
Watu waoga balaa huwa nawish ningezaliwa nigeria vile niwe na moyo wa kujiaminiTuingie barabarani tu. Tukinukishe ili nchi isitawalike halafu tukose wote.
Kaa ukijua huo mwili unaoringia ni mavumbi hutaishi milele na ujue jehanam ya moto inakusubiri maana kuua ni kutenda dhambiAndamana...... TUGAWANYE miguu na Kiuno
Tushapewa ORDER... Tuna hamuuu mno
Tupe njia hizo basiHatuhitaji kuitisha maandamano yatakayo sababisha vifo vya watu,inahitajika akili na si nguvu ya kupambana na mwenye nguvu,mwenye nguvu hupigwa kiakili sana.
HAKUNA KUANDAMANA.
kina nan wa ccm ama makamandaWakajiajiri Si wanaonaga raha kutuambia tujiajirii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania imeshaamua.
Hakuna mwenye muda wa kupoteza wa kuandamana.
Waandamane wao na familia zao.
Sio kushawishi watoto wa watu kila siku kuumia kwa manufaa yao.
Wewe utakuwa uliishia QT, maana demokrasia ya kigriki haikuwa hivyo. Demokrasia ya Tanzania ni bora kuliko ya Ugiriki. Ugiriki wanawake hawakuruhusiwa kugombea wala kupiga kura. Huku wewe umepiga kura na Queen Sendiga kagombea.Nchi ya Ugiriki katika mji wa Athens mwaka 330BC ilianzisha demokrasia. Mwaka huo kila ni mwanaume aliyeishi Athens alipewa haki ya kumchagua kiongozi wake midhali awe na umri wa miaka 30. Hii ilijumuisha wageni, watumwa na wafanya kazi wa majumbani.
2025 Tanzania bado hatujajua demokrasia na wabunge na madiwani wanapita bila kupingwa.
Huyo naye kaishiwa!
Anapinga matokeo kwa minajili gani?
Kwani kabla ya uchaguzi hakujua ambacho kingetokea?
Wewe hukujua kuwa figisu zitakuwepo?Wewe unajua kesho itakuwaje?
Kumbe mlijua kabisa kuwa wataiba kura CCM?