Zanzibar 2020 Michenzani, Zanzibar: Maalim Seif akamatwa kwa kutaka kuongoza maandamano ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi

Zanzibar 2020 Michenzani, Zanzibar: Maalim Seif akamatwa kwa kutaka kuongoza maandamano ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi

Wa Zanzibar wazalendo wamempuuza Babu madevu. Hivi kweli anadhani anaweza kushinda huo urais leo baada ya kuupigania tangu ujana wake?.
 
I see. Watake radhi kina Mbowe.
Kwa nini niwatake radhi akina Mbowe?Kwani uchaguzi ukilawitiwa ni akina Mbowe peke yao wanaathirika?Unaelewa kuwa uchaguzi ukilawitiwa anaathirika kila mwananchi mpenda haki bila ya kuangalia ni wa chama gani hata kama huyo mwananchi chama chake ni CCM?
 
Andamana...... TUGAWANYE miguu na Kiuno

Tushapewa ORDER... Tuna hamuuu mno
Ulishawahi kujiuliza uyo anakupa wewe order ya kudhulu wengine kwann asifanye iyo dhulma yeye mwenyewe?!! Kwann awape order wewe na wenzako ya kudhulumu maisha ya waafrika wenzako?!! Siku ukipata hayo majibu.. basi utakuwa umejitambua!!
 
Hatuhitaji kuitisha maandamano yatakayo sababisha vifo vya watu,inahitajika akili na si nguvu ya kupambana na mwenye nguvu,mwenye nguvu hupigwa kiakili sana.
HAKUNA KUANDAMANA.
 
keyboard_warrior_5548.jpg
 
Hatuhitaji kuitisha maandamano yatakayo sababisha vifo vya watu,inahitajika akili na si nguvu ya kupambana na mwenye nguvu,mwenye nguvu hupigwa kiakili sana.
HAKUNA KUANDAMANA.
Tupe njia hizo basi
 
Msije mkatumia nguvu kwa huyo mzee mtaharibu kila kitu..
Cha kufanya ni kumpooza ,ongeeni nae VIZURI.msije mkaitia nchi motoni.
Mkatushawishi hata sisi ambao tunahubiri amani tukashika MAPANGA.
Nchi mnaiharibu hii CCM.
 
Mwinyi ashukuru kura FEKI [emoji16][emoji16][emoji16]. vinginevyo maalim atampoteza
Tanzania imeshaamua.

Hakuna mwenye muda wa kupoteza wa kuandamana.

Waandamane wao na familia zao.

Sio kushawishi watoto wa watu kila siku kuumia kwa manufaa yao.
 
Nchi ya Ugiriki katika mji wa Athens mwaka 330BC ilianzisha demokrasia. Mwaka huo kila ni mwanaume aliyeishi Athens alipewa haki ya kumchagua kiongozi wake midhali awe na umri wa miaka 30. Hii ilijumuisha wageni, watumwa na wafanya kazi wa majumbani.

2025 Tanzania bado hatujajua demokrasia na wabunge na madiwani wanapita bila kupingwa.
Wewe utakuwa uliishia QT, maana demokrasia ya kigriki haikuwa hivyo. Demokrasia ya Tanzania ni bora kuliko ya Ugiriki. Ugiriki wanawake hawakuruhusiwa kugombea wala kupiga kura. Huku wewe umepiga kura na Queen Sendiga kagombea.
Ugiriki, maskini hawakuruhusiwa kugombea wala kupiga kura. Huku utajiri au umaskini sio kigezo cha kugombea wala kupiga kula.
Ugiriki Watumwa na wageni hawakuruhusiwa kugombea wala kupiga kura. Huku kwetu wageni hupewa Uraia na kuruhusiwa kugombea na kupiga kura.
 
Back
Top Bottom