Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Hii ni summary, je ungeamua kuandika kila kitu!!? 😂
 
Serious kabisa,
Sina mpango nae nmeegesha TU pale.

Sasa namsaidiaje kijana, nimfate Mimi nimwambie nmemuachia?

Aaah iyo hapana mbona, itakua dharau kubwa Sana iyo[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumwambia hapana .. wanaume nyie mna pride
Kwa nini usimpange huyu mchepuko mdogo ?

Usikute na yeye kafall in love kwako ndo maana hamuelewi huyo kijana [emoji23].
 
Jamani baba J huogopi mama J akija kujua [emoji3][emoji3][emoji3]sema we ni mchepuko mzuri unaprivide vizuri tu mpaka raha[emoji28]
Kweli kabisa, Baba J anajua kuhudumia
Mtu anasahau kama yeye ni mchepuko kabisa .
 
Relax kwanza, Hakuna fumanizi pale mkuu
Inavoonekana Yule kijana anaishi pale pale Ila vyumba tofaut, na wanamahusiano

Na huenda mwanamke hakutegemea ningekuja MDA ule ule. Na sio kawaida Mimi kuja na kufika mpk chumban kwake.

Ni Mara mbili TU nmeingia kwake,
Mara ya kwanza Ni kipind anahamia pale tunampelekea vitu na nyingine Ni Valentine day mwaka huu TU.

Mara nyingu
Huwa naishia TU barabarani, kuongea nae kwny gar na kuondoka.

Kilichotokea pale,
Hata yeye mwnyw hakukitarajia, but nilimchukulia normal maana yule kwa umri wake (20yrs) ndo wkt wake wa kuruka ruka[emoji4]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha roho ya unyanganyi na ubepari Kuna siku utaingia kwa wendawizimu na vichaa afu itakukosti ustume nguvu ya pesa kufanya unyanganyi uyo demu kiroho safi muachie dogo wa chuo.
 
Jamani baba J huogopi mama J akija kujua [emoji3][emoji3][emoji3]sema we ni mchepuko mzuri unaprivide vizuri tu mpaka raha[emoji28]
Ujue uyu nilikua nae TU bahat mbaya,
Ilkua Kama kumkomoa mamaJ maana tulikua na ugomvi flan hivi anajimwambafai Sana mamaJ

Ndo hivo tukajikuta kwny mahusiano ya kulana kiwiziwiz TU.


Binti mwnyw anajua anamuibia dada ake, ndo maana Yuko very careful

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha roho ya unyanganyi na ubepari Kuna siku utaingia kwa wendawizimu na vichaa afu itakukosti ustume nguvu ya pesa kufanya unyanganyi uyo demu kiroho safi muachie dogo wa chuo.
Uyu Dogo kanikuta tayar mkuu,
Mi ndo nmemtangulia, Sema Dogo mwnyw hajui.

Ni kwasbaabu TU mi uyu mwanamke Ni wangu wa dharura tu na sikumkeep bize Kias Cha Dogo kujua nna mahusiano nae waziwazi tangu wanzo.

Unaposema nmefanya unyang'anyi unakua unanionea Sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa. Kukua siyo kuongeza umri tu, bali uwezo wa kufanya maamuzi sahihi yanayotatua vema changamoto unazokutana nazo. so, let them be.
Kabisa,
sikupingi mkuu.
Dogo anapaswa ajue anakutana na wanawake wa Aina gani.

inavoonekana Dogo alikabidhi Moyo wake moya kwa moja kwa mwanamke asiye sahii kwake kutokana na malengo yake ya kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwi huu

Mume michepuko kadhaa...michepuko ina michepujo na main zao

Michepuko ya michepuko ina michepuko...na main zina michepuko

Yaani ikikosekana ngoma, homa ya ini haichezi mbali
Umewaza Kama Mimi
Alafu majuto yake ni makubwa mno
Kwa ninavoona malalamiko ya humu kuhus michepuko inaonesha pia ubovu wa akili zao kiwango Cha akili Cha michepuko yao kilivo Cha ovyo ndo kilivyo Cha kwao

Mnasema mwanamke mmoja hatoshi na pia Wanaume wengi wanachepuka huo ndo ukweli lkn unachepuka kwa misingi ipi je huyo unachepuka nae anaweza kukurespect anajali afya yake ili hata siku ukiamua uongeze awe mke anakidhi vigezo lkn wanaokota okota tu stress tupu
 
Kabisa,
sikupingi mkuu.
Dogo anapaswa ajue anakutana na wanawake wa Aina gani.

inavoonekana Dogo alikabidhi Moyo wake moya kwa moja kwa mwanamke asiye sahii kwake kutokana na malengo yake ya kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah!

Inabidi apate somo kwa vitendo.

Kwahiyo kausha, endelea kujichapia.
 
Baba G
Pond himself again
Mkuu hongera kwa kuonyesha ukomavu mbele ya dogo
Binti hawez kukutosa wala kumtosa mwamba hapa saizi wanabembelezana huko
Pia wwe kwake ni sponsor ndio mwenye kisu kikali 4 now
Wwe kama tuu muda utasema mkuu
 
DeepPond amemsaidia huyo kijaba kumjua vizuri mwanamke anye taja kumuoa ni wa tabia gani.

Kijana akitumia akili atamshikuru mdau amemuokoa na majanga makubwa ya baadaye.
Kwa jinsi nilivosoma utitiri wa sms zao wanazochati.

Uyu kijana na uyu binti hawaendani kabisa, Sema ndo hivyo Moyo wa mtu ukishampenda mtu ni kichaka.

Uyu kijana anaonekana Ni mtu wa Misa, afu msabato. Kila jumamosi anaratiba ya kwenda kusali. Kabla hajalala anaratiba ya kusali na kuombea penzi lake.

Ila Sasa binti mwenyewe Ni mzee wa Pombe, sijawahi kuskia ata siku Moja akiongelea habar za ibada au kwenda kusali.

Yaan Ni anaishi kipagani Pagani TU Kama Mimi[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…