Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

World cup bora kuliko zote ni ya 2002 na 2014

2006 , 2010 na 2018 ulikuwa utumbo tu
 
Huyo kaongea kufurahisha jukwaa tu ili aonekane anajua kumbe hamna lolote.
Sammy Khedira alipata nafasi baada ya Michel Ballack kuumia ndipo akapata nafasi ya kucheza World cup 2010 south Africa.
 
Acha uongo.

 
World cup 1986 final W.Germany vs Argentina ndani ya Mexico kwenye dimba la Estadio Azteca 29 june 1986

Argentina chini ya captain Diego Armando Maradona,
zikiwa zimebaki dakika 17 mchezo uishe,Argentina alikua anaongoza kwa goli 2-0 magoli yaliyofungwa na Jose luis Brown na Jorge valdano,

West German wakadroo 2-2 magoli yakifungwa na Karl-Heinz Rummenigge na Rudi Voller Mechi aliimaliza Burruchaga kwa shuti kali umbali wa 50 yards kutoka kwenye goli la wajerumani,Game likaisha kwa Argentina kunyanyua kwapa wakiongozwa na Captain Diego maradona.
 
Jamaa hauko makini na usahihi wa majina ya wachezaji!
Davor Suker
Nwankwo Kanu
Kluvert
Beckham

Kuwa makini
Haha si ulielewa lakini?kujua spelling za majina yao Mimi inanisaidia Nini?
 
Acha uongo
 
1998 aisee,wachezaji wengi sana walionyesha viwango,kina davo Suka,Mari selo salali,mwanko kanu,zizu ,Luis Figo,Devi's bekhamp,Patric cruvet,n.k
Hakika hii ilikuwa final bora kabisa nakumbuka nilikuwa naendesha baskel kwenda kungalia km kama 20 hivi nalala huko huko narudi asubuhi maana game zilikuwa zinaoigwa usiku sana
 
Hakika hii ilikuwa final bora kabisa nakumbuka nilikuwa naendesha baskel kwenda kungalia km kama 20 hivi nalala huko huko narudi asubuhi maana game zilikuwa zinaoigwa usiku sana
Aisee km 20 kwa baiskeli sio jambo jepesi, kongole sana mkuu
 
Naikubali ya mwaka 2002. Brazil akichukua kombe akiwa na Triple R,,,Ronaldo,,Ronadihno,,,Rivaldo ,,germanya wakiwa na kipa wao Oliver kahn wakisema ana mikona elfu moja..
Kuna yule jamaa wa Brazil alikuwa akiingia anapiga sana chenga, mnamkumbuka?
 
Lile goli alilofunga FABIO GROSSO Extra time lilikuwa kali sana.
 
Jamani kusema kweli WC zote ukiacha ya 2018 zilikuwa tamu sana na ni ngumu kusema ipi ilikuwa tamu kuliko nyingine. Mimi ntajaribu kuzipanga kwa ukali wake japo ni kazi ngumu sana.

1. USA 1994
2. JAPAN/SK 2002
3. GERMANY 2006
4. FRANCE 1998
5. ITALY 1990
6. SA 2010
7. BRAZIL 2014
 
2010 SA ilikuwa Best of all the time...!! Hakuna Mashindano yaliyosikika na kuhit kama yalee hata nyimbo zake hadi leo zimebaki historia...waka waka waka eeheee...its time for Africa...this is africa[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
kUNA NGOMA 1998 ILE.....GO...GO..GOOOOO .....ALE ...ALE ALEEEEEEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…