Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Mkuu ulioonea wapi WC 1930?
Ile Iliyofanyika Uruguay 1930 rafu zilikuwa katika ubora wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile Iliyofanyika Uruguay 1930 rafu zilikuwa katika ubora wake
Mimi mpaka leo naamini World Cup bora kuiona ni ile ya mwaka 2006. Jinsi Italy walivyopambana mpaka kutwaa taji. Italy ile iliyoundwa na wakongwe kama Luca Toni, Buffon, Pirlo, Materazzi, Del Piero, Canavarro, Zambrotta, Camoranesi na wengineo.
Italy njia aliyopitia mpaka kutwaa ubingwa ilikuwa ngumu sana. Mechi kama ya Nusu Fainali dhidi ya wenyeji Ujerumani ni ya kukumbukwa muda wote.
Pia kuna mechi za kukumbukwa kama robo fainali ya Argentina Vs Ujerumani ambao Argentina aliongoza muda mwingi wa mchezo, kocha wa Argentina alikuja kufanya mistake ya kumtoa Requelme jambo ambalo lilipelekea kuwarudisha mchezoni Ujerumani.
Halafu kuna mechi inajulikana kama Battke of Nuremberg, kati ya Uholanzi Vs Ureno ambapo jumla ya kadi za njano 16 na nyekundu 4 zilitoka.
Hayo ni kwa uchache tu, yote kwa yote World Cup ya 2006 ilikuwa bora sana kwa upande wangu.
Wewe unaikubali ipi na kwanini?
Kuweka rekodi sawa...
Ozil, Khedira wameanza kucheza timu ya Tiafa ya Ujerumani mwaka 2009 na World Cup yao ya kwanza ni 2010 pale South Africa.
Marchisio 2006 hakuwepo kikosini wakati Italy ikitwaa Ubingwa wa Dunia na Kepteni wa Italy alikuwa Fabio Cannavaro na wala sio Gigi Buffon.
Nimeangalia fainal za kombe la dunia miaka.
1. 1990 Italy
2. 1994 marekani
3. 1998 france
4. 2002 korea na japan
5. 2006 german
6. 2010 SA
7. 2014 Brazil
8 . 2018 russia.
Kati fainal bora ni zile za 2006 pale ujerumani. Mechi bora za wakati wate kwangu ni nusu fainali kati ya German na italia. Italia wakibuka washindi kwa mabao ya Vicenzo Ianquita na mkonge Del Piero.
Ujerumani ikiwa na kikosi cha vijana wadogo kabisa. Meaut Ozil, Sammy Khadera ect.
Itali chini ya kocha Marcelo Lippi na wakongwe, Del Piero, Zambrotta, maestro Pillo, Alesandro Nesta, Fabio Canavaro na beki mtukutu Materatzzi.
Wengine ni Fabio Groso, Luca Toni, Claudio Marchsio na mzee mzima Genarro Gatuso. Captain gigi Buffoni akisimama katikati ya stick.
Hizo ni fainali zangu bora kuona.
Haha si ulielewa lakini?kujua spelling za majina yao Mimi inanisaidia Nini?Jamaa hauko makini na usahihi wa majina ya wachezaji!
Davor Suker
Nwankwo Kanu
Kluvert
Beckham
Kuwa makini
Hahahaha! mkuu majina kuandikwa kwa usahihi kuna umuhimu wake pia ili kuweka kumbukumnu sawa na kutokuleta sintofahamu.Haha si ulielewa lakini?kujua spelling za majina yao Mimi inanisaidia Nini?
Nimeangalia fainal za kombe la dunia miaka.
1. 1990 Italy
2. 1994 marekani
3. 1998 france
4. 2002 korea na japan
5. 2006 german
6. 2010 SA
7. 2014 Brazil
8 . 2018 russia.
Kati fainal bora ni zile za 2006 pale ujerumani. Mechi bora za wakati wate kwangu ni nusu fainali kati ya German na italia. Italia wakibuka washindi kwa mabao ya Vicenzo Ianquita na mkonge Del Piero.
Ujerumani ikiwa na kikosi cha vijana wadogo kabisa. Meaut Ozil, Sammy Khadera ect.
Itali chini ya kocha Marcelo Lippi na wakongwe, Del Piero, Zambrotta, maestro Pillo, Alesandro Nesta, Fabio Canavaro na beki mtukutu Materatzzi.
Wengine ni Fabio Groso, Luca Toni, Claudio Marchsio na mzee mzima Genarro Gatuso. Captain gigi Buffoni akisimama katikati ya stick.
Hizo ni fainali zangu bora kuona.
Hakika hii ilikuwa final bora kabisa nakumbuka nilikuwa naendesha baskel kwenda kungalia km kama 20 hivi nalala huko huko narudi asubuhi maana game zilikuwa zinaoigwa usiku sana1998 aisee,wachezaji wengi sana walionyesha viwango,kina davo Suka,Mari selo salali,mwanko kanu,zizu ,Luis Figo,Devi's bekhamp,Patric cruvet,n.k
Kuna umuhimu wake mkuuHaha si ulielewa lakini?kujua spelling za majina yao Mimi inanisaidia Nini?
Aisee km 20 kwa baiskeli sio jambo jepesi, kongole sana mkuuHakika hii ilikuwa final bora kabisa nakumbuka nilikuwa naendesha baskel kwenda kungalia km kama 20 hivi nalala huko huko narudi asubuhi maana game zilikuwa zinaoigwa usiku sana
Iliumiza sana. Binafsi sikuipendadah! ile sheria walifanya jambo la maana sana kuiondosha.
ilikuwa inaumiza vibayaaa
Alikuwa mpiga penati namba 1 kwenye kikosi kile. Mechi ya robo fainali penati yake ya jioni iliwaondosha mashindanoni Australia.Umemsahau fransisco toti
Kuna yule jamaa wa Brazil alikuwa akiingia anapiga sana chenga, mnamkumbuka?Naikubali ya mwaka 2002. Brazil akichukua kombe akiwa na Triple R,,,Ronaldo,,Ronadihno,,,Rivaldo ,,germanya wakiwa na kipa wao Oliver kahn wakisema ana mikona elfu moja..
Lile goli alilofunga FABIO GROSSO Extra time lilikuwa kali sana.Nimeangalia fainal za kombe la dunia miaka.
1. 1990 Italy
2. 1994 marekani
3. 1998 france
4. 2002 korea na japan
5. 2006 german
6. 2010 SA
7. 2014 Brazil
8 . 2018 russia.
Kati fainal bora ni zile za 2006 pale ujerumani. Mechi bora za wakati wate kwangu ni nusu fainali kati ya German na italia. Italia wakibuka washindi kwa mabao ya Vicenzo Ianquita na mkonge Del Piero.
Ujerumani ikiwa na kikosi cha vijana wadogo kabisa. Meaut Ozil, Sammy Khadera ect.
Itali chini ya kocha Marcelo Lippi na wakongwe, Del Piero, Zambrotta, maestro Pillo, Alesandro Nesta, Fabio Canavaro na beki mtukutu Materatzzi.
Wengine ni Fabio Groso, Luca Toni, Claudio Marchsio na mzee mzima Genarro Gatuso. Captain gigi Buffoni akisimama katikati ya stick.
Hizo ni fainali zangu bora kuona.
Jamani kusema kweli WC zote ukiacha ya 2018 zilikuwa tamu sana na ni ngumu kusema ipi ilikuwa tamu kuliko nyingine. Mimi ntajaribu kuzipanga kwa ukali wake japo ni kazi ngumu sana.Mimi mpaka leo naamini World Cup bora kuiona ni ile ya mwaka 2006. Jinsi Italy walivyopambana mpaka kutwaa taji. Italy ile iliyoundwa na wakongwe kama Luca Toni, Buffon, Pirlo, Materazzi, Del Piero, Canavarro, Zambrotta, Camoranesi na wengineo.
Italy njia aliyopitia mpaka kutwaa ubingwa ilikuwa ngumu sana. Mechi kama ya Nusu Fainali dhidi ya wenyeji Ujerumani ni ya kukumbukwa muda wote.
Pia kuna mechi za kukumbukwa kama robo fainali ya Argentina Vs Ujerumani ambao Argentina aliongoza muda mwingi wa mchezo, kocha wa Argentina alikuja kufanya mistake ya kumtoa Requelme jambo ambalo lilipelekea kuwarudisha mchezoni Ujerumani.
Halafu kuna mechi inajulikana kama Battke of Nuremberg, kati ya Uholanzi Vs Ureno ambapo jumla ya kadi za njano 16 na nyekundu 4 zilitoka.
Hayo ni kwa uchache tu, yote kwa yote World Cup ya 2006 ilikuwa bora sana kwa upande wangu.
Wewe unaikubali ipi na kwanini?
kUNA NGOMA 1998 ILE.....GO...GO..GOOOOO .....ALE ...ALE ALEEEEEEEE2010 SA ilikuwa Best of all the time...!! Hakuna Mashindano yaliyosikika na kuhit kama yalee hata nyimbo zake hadi leo zimebaki historia...waka waka waka eeheee...its time for Africa...this is africa[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Unamzungumzia Denilson?Kuna yule jamaa wa Brazil alikuwa akiingia anapiga sana chenga, mnamkumbuka?