Microsoft Ina tatzo gani, tangu jana siwezi fungua mlango wa fridge yangu

Microsoft Ina tatzo gani, tangu jana siwezi fungua mlango wa fridge yangu

Kuna id nilikuwa natumia nakuja kushangaa kuna mtu anaitumia sijui ilipata wapi password... Saiv nimeweka password ngumu mpaka mfumo inalalamika...
Kumbe humu kuna wadukuzi wa ID
 
Mkuu kweli kuna teknolojia zingine zinarudisha nyuma badala ya kuleta Msaada kwa watumiaji
Fikiria sasa ulaya wanaziogopa Gari za umeme za china wanahofu vitu kama hivi
China anaweza kuzizima zote akiaamua
Angalia movie inaaitwa Leave the World Behind
 
Fikiria sasa ulaya wanaziogopa Gari za umeme za china wanahofu vitu kama hivi
China anaweza kuzizima zote akiaamua
Angalia movie inaaitwa Leave the World Behind
Mkuu sio gari tu, hata Digital ID nayo haitokuwa salama, pamoja na Digital Currency, wakiamua kuzima mfumo basi hakuna kukunua wala kuuza, hakuna kusafiri wala kulipa service yoyote
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Cha msingi ni kuweka unga kwenye mfuko chini ya uvungu... Sio kwenye fridge... Imagine unatumia sufuria zina Windows 11 hapo angeenda kuazima sufuria za kupikia...
Kuna wakati walisema ipo siku kila kitu kitakuwa ni computerized sasa imagine traffic light zizime zote

Ila kwa kweli haya mambo ya mara smart fridge naona hata kama jamani
Yaani bora masufuria yetu tu
 
Back
Top Bottom