Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #81
Mkuu sahihi kabisa, hizi smart items wakati mwingine huleta changamotoKuna wakati walisema ipo siku kila kitu kitakuwa ni computerized sasa imagine traffic light zizime zote
Ila kwa kweli haya mambo ya mara smart fridge naona hata kama jamani
Yaani bora masufuria yetu tu
Sawa ndoo ya maji huna .lakin hata 500 ya kununua maji ya uhai nusu Lita imekushinda mpk ujanywa maji siku nzima ..inshort hapo c kwakoMsaada kwa anaye fahamu namna ya kufungua, tangu jana sijanywa maji kabisa βΉοΈ
View attachment 3047199
Siwezi kunywa maji ya 500 nisije nikapata kichochoSawa ndoo ya maji huna .lakin hata 500 ya kununua maji ya uhai nusu Lita imekushinda mpk ujanywa maji siku nzima ..inshort hapo c kwako
Mkuu hapo ni nyumbaniMkuu hii picha umegugo wapi?
Kuna Kilimanjaro pia ...afu kumbe uko gheto moja na netanyau maana sio fridge tuh mpk kitchen cabinets znafananaSiwezi kunywa maji ya 500 nisije nikapata kichocho
Netanyahu alikuja jana kwangu, sasa sijui kama alipiga picha jikoni kwangu maana yule jamaa ni mmbea sanaKuna Kilimanjaro pia ...afu kumbe uko gheto moja na netanyau maana sio fridge tuh mpk kitchen cabinets znafanana
Huyu wa jamii forum atakuwa mke wake huyo mwamba ..........kira mtu kaamua kulalamikia kwenye forum yake
Don't take things too seriously........ JF chit chats and jokesHuyu wa jamii forum atakuwa mke wake huyo mwamba ..........kira mtu kaamua kulalamikia kwenye forum yake
πππ Nimerudi ndani mkuu, saivi siogopi kibwengo chochoteπ π uyu jamaa ame toka kufukuzwa ndani na jini
Hapo sasa ni mimi au wewe ndio umepata muhemkooo??Don't take things too seriously........ JF chit chats and jokes
Sidhani kama wewe au mimi kuna mwenye mihemko, hayo ni maoni yako kwenye mada, hakuna tatizo MkuuHapo sasa ni mimi au wewe ndio umepata muhemkooo??
Yeye amebarikiwa mkuu ni tofauti na sisi.Hongera sana mkuu,mimi hata fridge la kufungulia ufunguo sina,ubarikiwe sana
Wote tumebarikiwaYeye amebarikiwa mkuu ni tofauti na sisi.
Nitajaribu kufanya hivyo mkuu πBadilisha Window
Kweli Mkuu, pia hili ni jukwaa la utani na kufurahi tuJF ukiwa na Wivu wa kijinga utakufa kwa pressure.