Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata wanawake nao kila siku wanatafuta uzuri?labda hujui tu nikusaidiewajinga wajirekebishe mademu kila siku wanalalamika. wao wapo busy kutafuta uzuri kitandani hamna kitu
Huvai naniliu ww?!Hahaaaa bora Mimi wa mkoani
Exactly...!Ujumbe mzuri ila umeuharibu kufanya generalization kwa wanaume wa dar!
Na makucha yake.Kumekuchaa
jamii ya james delicious iyonatiririka na hii Mada kidogo
unakuta midume kabisa unapiga picture na kuanza kuiediti na kuweka madoido. huu ni ushamba au ulimbukeni mnatafuta uziri au? mingine unakuta inatumia kabisa switie selfie kuilemba hiyo pc hivi ukisimamishwa na wanaume ukatongozwa utalaumu? hasa Ninyi wanaume wa dar ndo kazi yenu kushinda saloon na kufanya sijui wanaita nini ile! mwili uso unakuwa kama mrembo. acheni ulimbukeni. kuwaridhisha wake zenu mmeshindwa kazi iliyobaki ni kujilemba tu. elimikeni basi mnachekwa na mademu zenu. povo ruksa mi naoshia hapo. nawakilisha hoja.
Ni kweli...lazima kuwe na tofauti baina ya ME na KE.Ndio hivyo jamaani. Hii chungu lakini dawa. Teh.
Mtuachie sisi Ke huo urembo sababu ndio asili yetu.
Wanawake wameumbwa kuwa warembo, mwanaume ukiwa mrembo unakuwa unachembe ya hulka ya mwanamke, sisi ni wa kufanya kazi miaka yote sio kujilemba,Mbona hata wanawake nao kila siku wanatafuta uzuri?labda hujui tu nikusaidie
1. Salon atarekebisha nywele
2.Ataweka kope saloon
3. Ataweka kucha mpya
4..Bado pamba (nguo)
5.Bado urembo mwingine-lipstick,shanga kiunoni,vikuku(vichicken) na kama ana tabia za kizaramo anunue madera aende akate msambwanda wake huko kwenye vigodoro
Braza asikwambie mtu DSM kuna mambo na watu bado "WANADANGA" upo hapo?
Utakuwa una ujasiri wa mihogo nazi na karanga zinazotembezwa road na foleni[emoji23][emoji23] una stress zako unaamua kutashambulia ambao hatujui hata iyo "switie selfie"
Ivi mbona nyinyi wa mikoani mkiwa kwenye keyboard mnakua mna ujasiri mkubwa wa kututukana ila tukiibuka uko mikoani mnakua MAKUWADI wetu namba moja mna komaa kweli kututafutia dada zenu wehu kweli.
Alafu idadi kubwa wale wanaume wenye tabia hizo ni wa mikoani waliokuja dar kutokana na ushamba wao waliotoka nao huko mikoani ndiyo huiga na kufanya upuuzi woteMbona mimi hayo mambo sifanyi chief na nipo DSM? Ni kweli kuna watu wanafanya ila sio wote. Lakin pia huduma za kusafisha uso(FACIAL SCRUB) na MASSAGE ni maamuzi ya mtu.
Hhahaha dah nimecheka mpaka nimeliaAlafu idadi kubwa wale wanaume wenye tabia hizo ni wa mikoani waliokuja dar kutokana na ushamba wao waliotoka nao huko mikoani ndiyo huiga na kufanya upuuzi wote