Midume kunapiga picture na kuanza kuiedit na kuweka madoido, huu ni ushamba au ulimbukeni?

Midume kunapiga picture na kuanza kuiedit na kuweka madoido, huu ni ushamba au ulimbukeni?

wajinga wajirekebishe mademu kila siku wanalalamika. wao wapo busy kutafuta uzuri kitandani hamna kitu
Mbona hata wanawake nao kila siku wanatafuta uzuri?labda hujui tu nikusaidie
1. Salon atarekebisha nywele
2.Ataweka kope saloon
3. Ataweka kucha mpya
4..Bado pamba (nguo)
5.Bado urembo mwingine-lipstick,shanga kiunoni,vikuku(vichicken) na kama ana tabia za kizaramo anunue madera aende akate msambwanda wake huko kwenye vigodoro
Braza asikwambie mtu DSM kuna mambo na watu bado "WANADANGA" upo hapo?
 
Sasa wanawake ndo kazi Yao wajilembe ili watongozwe sasa kwa hii midume vipi wa natafuta não watongozwe?
 
natiririka na hii Mada kidogo

unakuta midume kabisa unapiga picture na kuanza kuiediti na kuweka madoido. huu ni ushamba au ulimbukeni mnatafuta uziri au? mingine unakuta inatumia kabisa switie selfie kuilemba hiyo pc hivi ukisimamishwa na wanaume ukatongozwa utalaumu? hasa Ninyi wanaume wa dar ndo kazi yenu kushinda saloon na kufanya sijui wanaita nini ile! mwili uso unakuwa kama mrembo. acheni ulimbukeni. kuwaridhisha wake zenu mmeshindwa kazi iliyobaki ni kujilemba tu. elimikeni basi mnachekwa na mademu zenu. povo ruksa mi naoshia hapo. nawakilisha hoja.
jamii ya james delicious iyo
 
Kwa mie nisiejua kujiremba nikipata mwanamme wa hivi mbona nitakoma
 
Kila mtu na maisha yake, nchi huru hii
 
[emoji23][emoji23] una stress zako unaamua kutashambulia ambao hatujui hata iyo "switie selfie"
Ivi mbona nyinyi wa mikoani mkiwa kwenye keyboard mnakua mna ujasiri mkubwa wa kututukana ila tukiibuka uko mikoani mnakua MAKUWADI wetu namba moja mna komaa kweli kututafutia dada zenu wehu kweli.
 
Mbona hata wanawake nao kila siku wanatafuta uzuri?labda hujui tu nikusaidie
1. Salon atarekebisha nywele
2.Ataweka kope saloon
3. Ataweka kucha mpya
4..Bado pamba (nguo)
5.Bado urembo mwingine-lipstick,shanga kiunoni,vikuku(vichicken) na kama ana tabia za kizaramo anunue madera aende akate msambwanda wake huko kwenye vigodoro
Braza asikwambie mtu DSM kuna mambo na watu bado "WANADANGA" upo hapo?
Wanawake wameumbwa kuwa warembo, mwanaume ukiwa mrembo unakuwa unachembe ya hulka ya mwanamke, sisi ni wa kufanya kazi miaka yote sio kujilemba,
 
[emoji23][emoji23] una stress zako unaamua kutashambulia ambao hatujui hata iyo "switie selfie"
Ivi mbona nyinyi wa mikoani mkiwa kwenye keyboard mnakua mna ujasiri mkubwa wa kututukana ila tukiibuka uko mikoani mnakua MAKUWADI wetu namba moja mna komaa kweli kututafutia dada zenu wehu kweli.
Utakuwa una ujasiri wa mihogo nazi na karanga zinazotembezwa road na foleni
 
Mbona mimi hayo mambo sifanyi chief na nipo DSM? Ni kweli kuna watu wanafanya ila sio wote. Lakin pia huduma za kusafisha uso(FACIAL SCRUB) na MASSAGE ni maamuzi ya mtu.
Alafu idadi kubwa wale wanaume wenye tabia hizo ni wa mikoani waliokuja dar kutokana na ushamba wao waliotoka nao huko mikoani ndiyo huiga na kufanya upuuzi wote
 
Alafu idadi kubwa wale wanaume wenye tabia hizo ni wa mikoani waliokuja dar kutokana na ushamba wao waliotoka nao huko mikoani ndiyo huiga na kufanya upuuzi wote
Hhahaha dah nimecheka mpaka nimelia
 
Back
Top Bottom