Anampitisha kugumu sana wallahSadist Samia anataka Tundu Lissu apate the maximum psychology torture.
Lissu ana msimamo sidhani hiyo psychological en mind game wanao cheza itambadili msimamo, Lissu na mbowe ni watu wawili tofauti kimsimamo Lissu can't compromise easily.Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa
Nasema hivi kwa sababu niliwahi kufika pale Kisongo gerezani kipindi wale watuhumiwa wa mauaji ya Kimball wa Rwanda Banyamulenge wakiwa wamewekwa mahabusu pale wale watuhumiwa japo wengi walihukumiwa kunyongwa baada ya hukumu zao lakini wakati wakiwa mahabusu waliishi kwa Raha sana pale Kisongo
Sero zao zilikuwa gorofani na walipata chakula kizuri na uhuru wa kutosha wa kukutana na watu wa nje na ndani ya gereza na pia walipata habari zote kupitia magazeti Tena na station television Tena za nchini kwao
Na pia wakati wa utawala wa Benjamin kulikuwa na mfungwq mmoja alofungwa kwa kesi ya utakatishaji wa FEDHA akiitwa Justin Nyari huyu jamaa alikuwa akiishe kwenye sero maalumu Kule gerezani Tena akiwa na ulinzi maalumu na akipatiwa huduma zote za kibinadamu Tena kwa wakati
Sasa mie sijui gereza la Ukonga jinsi lilivyo ila kwa kumuweka Tundu Lissu kwenye sero za mitaro ya maji machafu ni aibu kwa taifa na Moja kwa Moja Sasa serikali hii imejitanabaisha kuwa ni kama tu Ile ya makaburu walichomfanyia Mandela tofauti ni rangi tu
HUu mkakati umekwama sanaLissu ana msimamo sidhani hiyo psychological en mind game wanao cheza itambadili msimamo, Lissu na mbowe ni watu wawili tofauti kimsimamo Lissu can't compromise easily.
Tofautisha viwango vilivyowekwa na akili ya mtejelezaji. Ndio maana aliwasomea juzu kuhusu hizo taratibuKwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa
Nasema hivi kwa sababu niliwahi kufika pale Kisongo gerezani kipindi wale watuhumiwa wa mauaji ya Kimball wa Rwanda Banyamulenge wakiwa wamewekwa mahabusu pale wale watuhumiwa japo wengi walihukumiwa kunyongwa baada ya hukumu zao lakini wakati wakiwa mahabusu waliishi kwa Raha sana pale Kisongo
Sero zao zilikuwa gorofani na walipata chakula kizuri na uhuru wa kutosha wa kukutana na watu wa nje na ndani ya gereza na pia walipata habari zote kupitia magazeti Tena na station television Tena za nchini kwao
Na pia wakati wa utawala wa Benjamin kulikuwa na mfungwq mmoja alofungwa kwa kesi ya utakatishaji wa FEDHA akiitwa Justin Nyari huyu jamaa alikuwa akiishe kwenye sero maalumu Kule gerezani Tena akiwa na ulinzi maalumu na akipatiwa huduma zote za kibinadamu Tena kwa wakati
Sasa mie sijui gereza la Ukonga jinsi lilivyo ila kwa kumuweka Tundu Lissu kwenye sero za mitaro ya maji machafu ni aibu kwa taifa na Moja kwa Moja Sasa serikali hii imejitanabaisha kuwa ni kama tu Ile ya makaburu walichomfanyia Mandela tofauti ni rangi tu
Ungeomba usk aletwe jwako umlaze na yule mwanao Sadist Samia anataka Tundu Lissu apate the maximum psychology torture.
Hata Mimi naamini hivyoLissu hali chakula cha gerezani na very likely anakaa chumba cha peke yake.
Ona huyu pongo.....Lissu hali chakula cha gerezani na very likely anakaa chumba cha peke yake.
Kaeleza mwenyewe Lisu mbele ya umma kuwa anakaa na mtu nyomi huku debe la nnya likiwa mita chache tu.Lissu hali chakula cha gerezani na very likely anakaa chumba cha peke yake.
Mama ako ana roho ushindani umemshinda.Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa