Mkuu, kwa ufupi ni kwamba "kesi za UHAINI" haiwezi kumpata kibaka. Ebu nitajie hata kesi moja tu iliyowahusu vibaka ama kibaka.Kwa hiyo hata kibaka mtaani akiona maisha magumu mtaani anaanzisha kesi ya uhaini ili akakae VIP gerezani ale kuku kwa mrija
Mbona Tutapata watuhumiwa uhaini kibao
Tii sheria bila shurti usivunje sheria kuwinda VIP gerezani sababu umepigika maisha mtaani
Lisu hana kazi ya kumwingizia kipato Tanzania ndio maana anawinda VIP gerezani
The man survived 16 bullets,each bullet tested his body, but none could pierce his will. The man is stronger than ever. Mitaro ya maji machafu ninayo hakika hayawezi kuyumbisha msimamo wa Lissu.Lissu ana msimamo sidhani hiyo psychological en mind game wanao cheza itambadili msimamo, Lissu na mbowe ni watu wawili tofauti kimsimamo Lissu can't compromise easily.
Nenda ukakae naye kama una uchungu naye.
Uyu bibi ashindwi kuweka wafungwa wamjeruhi au wamfanyie kitu kibaya uko jela afu wasingizie ni vurugu za wajela jelaWengi tulidhani yuko selo maalumu yenye hadhi kumbe kawekwa changanyikeni na wafungwa wengine ambao tayari wamehukumiwa kunyongwa, hii kali!
Hans pope hakuwa na kazi ya kueleweka ya kumwingizia kipato alikuwa na kesi ya uhainiMkuu, kwa ufupi ni kwamba "kesi za UHAINI" haiwezi kumpata kibaka. Ebu nitajie hata kesi moja tu iliyowahusu vibaka ama kibaka.
Lisu wamemuweka hapo pachafu kwa sababu hana kesi ya kujibu na hawa uhakika kamawatashinda hiyo kesi hivyo wanamkomoa tu,wanajua saa yoyote anatokaKwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa
Nasema hivi kwa sababu niliwahi kufika pale Kisongo gerezani kipindi wale watuhumiwa wa mauaji ya Kimball wa Rwanda Banyamulenge wakiwa wamewekwa mahabusu pale wale watuhumiwa japo wengi walihukumiwa kunyongwa baada ya hukumu zao lakini wakati wakiwa mahabusu waliishi kwa Raha sana pale Kisongo
Sero zao zilikuwa gorofani na walipata chakula kizuri na uhuru wa kutosha wa kukutana na watu wa nje na ndani ya gereza na pia walipata habari zote kupitia magazeti Tena na station television Tena za nchini kwao
Na pia wakati wa utawala wa Benjamin kulikuwa na mfungwq mmoja alofungwa kwa kesi ya utakatishaji wa FEDHA akiitwa Justin Nyari huyu jamaa alikuwa akiishe kwenye sero maalumu Kule gerezani Tena akiwa na ulinzi maalumu na akipatiwa huduma zote za kibinadamu Tena kwa wakati
Sasa mie sijui gereza la Ukonga jinsi lilivyo ila kwa kumuweka Tundu Lissu kwenye sero za mitaro ya maji machafu ni aibu kwa taifa na Moja kwa Moja Sasa serikali hii imejitanabaisha kuwa ni kama tu Ile ya makaburu walichomfanyia Mandela tofauti ni rangi tu
Mshamba weweNenda ukakae naye kama una uchungu naye.
Mkuu, hao ulio watolea mfano hawakuwa vibaka, unless haujui maana halisi ya neno "kibaka". Mkuu, vijana wanateka Boeing toka Mwanza to UK , via Kenya na Misri; huku waki hakikisha haiendi iliko kusudiwa, ndio unawaita "vibaka".Hans pope hakuwa na kazi ya kueleweka ya kumwingizia kipato alikuwa na kesi ya uhaini
Kuna walioteka ndege ya ATC kwenda london walikuwa wahuni tu wa mitaani akina Membar nk walikuwa na kesi ya uhaini
Mifano iko kibao
Walikuwa na kazi gani ya kuwaingizia kipato walipoteka ndege ? Na kupewa kesi ya uhaini? Zaidi ya kuwa vibaka waiba ndege?Mkuu, hao ulio watolea mfano hawakuwa vibaka, unless haujui maana halisi ya neno "kibaka". Mkuu, vijana wanateka Boeing toka Mwanza to UK , via Kenya na Misri; huku waki hakikisha haiendi iliko kusudiwa, ndio unawaita "vibaka".
Eti vibaka waiba ndege.Walikuwa na kazi gani ya kuwaingizia kipato walipoteka ndege ? Na kupewa kesi ya uhaini? Zaidi ya kuwa vibaka waiba ndege?
Mkuu Shoton, yaani umenichesha sana, yaani mpaka vijana waited ndege wewe bado una waona ni vibaka, na hasa ukizingatia wakati ule huji hapa mjini bila barua ya Mwenyekiti wa kijiji ulikotokea vinginevyo unarudishwa ulikotoka.Walikuwa na kazi gani ya kuwaingizia kipato walipoteka ndege ? Na kupewa kesi ya uhaini? Zaidi ya kuwa vibaka waiba ndege?
Wale walikuwa wazaliwa Dar ila hawana kazi yoyote kuwaingizia kipato sio wa kujaMkuu Shoton, yaani umenichesha sana, yaani mpaka vijana waited ndege wewe bado una waona ni vibaka, na hasa ukizingatia wakati ule huji hapa mjini bila barua ya Mwenyekiti wa kijiji ulikotokea vinginevyo unarudishwa ulikotoka.
Vibaka wana ma daraja na viwango waibavyoEti vibaka waiba ndege.
We jamaa hebu jitazame kwenye kioo.
Mkuu, tuelimishi sasa; hao vibaka walikwenda Mwanza kufanya nini?Wale walikuwa wazaliwa Dar ila hawana kazi yoyote kuwaingizia kipato sio wa kuja
Kusuka mipango ya kuteka ndegeMkuu, tuelimishi sasa; hao vibaka walikwenda Mwanza kufanya nini?
Mkuu, sasa watu kama hao wenye mipango mikubwa mikubwa kama hiyo, ndio una waita " "vibaka", tena wakati ule hakukuwa na shida ya ajira zenye ujira, viwanda nilikuwa vinatafuta vibarua na sio "vibaka"Kusuka mipango ya kuteka ndege
Dar waliogopa wanga wengi kila kona
Not only that but also her government wants him dead. Kumbuka ndio waliomwagia mvua ya risasi miaka kadhaa ilopita.Sadist Samia anataka Tundu Lissu apate the maximum psychology torture.