- Thread starter
- #61
Hujambo bibi ZuzuNenda ukakae naye kama una uchungu naye.
Hujambo bibi ZuzuNenda ukakae naye kama una uchungu naye.
Lissu ana amani yeye anahangaika huku damu za watu zikimlilia.Sadist Samia anataka Tundu Lissu apate the maximum psychology torture.
Huyu anafundwa na kufichwa juu ya watesi wake ili aje awe Rais Bora Sana wa nchi hii!!Lissu hali chakula cha gerezani na very likely anakaa chumba cha peke yake.
Anakaa upande wa death row, haimaanishi wanakaa wote. Magereza hawelawezi kuwa wajinga kiasi hicho.Kaeleza mwenyewe Lisu mbele ya umma kuwa anakaa na mtu nyomi huku debe la nnya likiwa mita chache tu.
Lissu ni kibaka tu na hata kumuweka pamoja na waliohukumiwa kifo ni kumpendelea tu.Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa
Nasema hivi kwa sababu niliwahi kufika pale Kisongo gerezani kipindi wale watuhumiwa wa mauaji ya Kimball wa Rwanda Banyamulenge wakiwa wamewekwa mahabusu pale wale watuhumiwa japo wengi walihukumiwa kunyongwa baada ya hukumu zao lakini wakati wakiwa mahabusu waliishi kwa Raha sana pale Kisongo
Sero zao zilikuwa gorofani na walipata chakula kizuri na uhuru wa kutosha wa kukutana na watu wa nje na ndani ya gereza na pia walipata habari zote kupitia magazeti Tena na station television Tena za nchini kwao
Na pia wakati wa utawala wa Benjamin kulikuwa na mfungwq mmoja alofungwa kwa kesi ya utakatishaji wa FEDHA akiitwa Justin Nyari huyu jamaa alikuwa akiishe kwenye sero maalumu Kule gerezani Tena akiwa na ulinzi maalumu na akipatiwa huduma zote za kibinadamu Tena kwa wakati
Sasa mie sijui gereza la Ukonga jinsi lilivyo ila kwa kumuweka Tundu Lissu kwenye sero za mitaro ya maji machafu ni aibu kwa taifa na Moja kwa Moja Sasa serikali hii imejitanabaisha kuwa ni kama tu Ile ya makaburu walichomfanyia Mandela tofauti ni rangi tu
Exactly. Hata nusu ya uimara wa kisaikolojia alionao Lisu huyu hana.Sadist Samia anataka Tundu Lissu apate the maximum psychology torture.
View: https://m.youtube.com/watch?v=JsNrANOXQpc Tazama movie hii ili uweze kujua nini maana ya kuwa katika Death Row, pia mtuhumiwa pamoja na askari waliopewa order kuwadhibiti walio katika condemn wing kisakiolojia wanapitia nini
magereza wana taratibu zao na stahiki za mahabusu msikilize tena lissu kazitaja, hilo la kukaa vip hakuna mahabusu vipKwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa
Nasema hivi kwa sababu niliwahi kufika pale Kisongo gerezani kipindi wale watuhumiwa wa mauaji ya Kimball wa Rwanda Banyamulenge wakiwa wamewekwa mahabusu pale wale watuhumiwa japo wengi walihukumiwa kunyongwa baada ya hukumu zao lakini wakati wakiwa mahabusu waliishi kwa Raha sana pale Kisongo
Sero zao zilikuwa gorofani na walipata chakula kizuri na uhuru wa kutosha wa kukutana na watu wa nje na ndani ya gereza na pia walipata habari zote kupitia magazeti Tena na station television Tena za nchini kwao
Na pia wakati wa utawala wa Benjamin kulikuwa na mfungwq mmoja alofungwa kwa kesi ya utakatishaji wa FEDHA akiitwa Justin Nyari huyu jamaa alikuwa akiishe kwenye sero maalumu Kule gerezani Tena akiwa na ulinzi maalumu na akipatiwa huduma zote za kibinadamu Tena kwa wakati
Sasa mie sijui gereza la Ukonga jinsi lilivyo ila kwa kumuweka Tundu Lissu kwenye sero za mitaro ya maji machafu ni aibu kwa taifa na Moja kwa Moja Sasa serikali hii imejitanabaisha kuwa ni kama tu Ile ya makaburu walichomfanyia Mandela tofauti ni rangi tu
mama kaingiaje? wakati kakamatwa na afisa doria mitandaoniHuyu mama katili sana anadhani alivyomnyoosha Mbowe atafanikiwa kwa Lissu ,ndoto ya Mwendawazimu
Nakuona mbubujikwa machozi ukizidi kububujikwa zaidi unapochezea cone ya AbdulNenda ukakae naye kama una uchungu naye.
Uoga umemfanya apige Kila lilicho mbeleMama ako ana roho ushindani umemshinda.
Lissu tafauti na mbowe kua tishio kwa CCM, ni msomi mzuri, public relation Internationally ni nzuri, ana msimamo dhabiti, ana chuki na CCM kutoka moyoni alinusurika kifo, ni mombilizer mzuri, hana tamaa ya mali ni muongeaji mzuri hana makando kando he calls a spade a spade not a big spoon, sio mnafiki wa siasa kama viongozi wa upinzani wengine, haogopi kifo, hayo yote yanamfanya kua tishio kwa serikali.
Mimi naona kwamba CCM kupata afueni ni kumueka gerezani mpaka uchaguzi upite, atafungwa kweli kweli kwa kila aina ya visingizio, ungekua wewe ndo serikali ungefanya je mtu mwenye cariber kama Lissu?