Mie nilijua Tundu Lissu yupo kwa VIP za sero

Wamuachie huru anapitia maumivu makali. Allah kareem amfanyie wepesi Inshallah
 
Lissu ana msimamo sidhani hiyo psychological en mind game wanao cheza itambadili msimamo, Lissu na mbowe ni watu wawili tofauti kimsimamo Lissu can't compromise easily.
Lissu ni hatari na anajua kwa nini wamemuweka kule kiufupi Lissu yuko mbele ya Mda
 
Lissu tafauti na mbowe kua tishio kwa CCM, ni msomi mzuri, public relation Internationally ni nzuri, ana msimamo dhabiti, ana chuki na CCM kutoka moyoni alinusurika kifo, ni mombilizer mzuri, hana tamaa ya mali ni muongeaji mzuri hana makando kando he calls a spade a spade not a big spoon, sio mnafiki wa siasa kama viongozi wa upinzani wengine, haogopi kifo, hayo yote yanamfanya kua tishio kwa serikali.
Mimi naona kwamba CCM kupata afueni ni kumueka gerezani mpaka uchaguzi upite, atafungwa kweli kweli kwa kila aina ya visingizio, ungekua wewe ndo serikali ungefanya je mtu mwenye cariber kama Lissu?
 
Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa

Nasema hivi kwa sababu niliwahi kufika pale Kisongo gerezani kipindi wale watuhumiwa wa mauaji ya Kimball wa Rwanda Banyamulenge wakiwa wamewekwa mahabusu pale wale watuhumiwa japo wengi walihukumiwa kunyongwa baada ya hukumu zao lakini wakati wakiwa mahabusu waliishi kwa Raha sana pale Kisongo

Sero zao zilikuwa gorofani na walipata chakula kizuri na uhuru wa kutosha wa kukutana na watu wa nje na ndani ya gereza na pia walipata habari zote kupitia magazeti Tena na station television Tena za nchini kwao

Na pia wakati wa utawala wa Benjamin kulikuwa na mfungwq mmoja alofungwa kwa kesi ya utakatishaji wa FEDHA akiitwa Justin Nyari huyu jamaa alikuwa akiishe kwenye sero maalumu Kule gerezani Tena akiwa na ulinzi maalumu na akipatiwa huduma zote za kibinadamu Tena kwa wakati

Sasa mie sijui gereza la Ukonga jinsi lilivyo ila kwa kumuweka Tundu Lissu kwenye sero za mitaro ya maji machafu ni aibu kwa taifa na Moja kwa Moja Sasa serikali hii imejitanabaisha kuwa ni kama tu Ile ya makaburu walichomfanyia Mandela tofauti ni rangi tu

Yezebeli alijitahidi kumuua Eliya ila kilichotokea ni Yeye kuuawa na jemadari Jehu.
Chuki na ubaya unapozidi ni dalili za mwisho za kumsukuma mdhalimu kuharakisha mwisho wake.
 
Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa

Nasema hivi kwa sababu niliwahi kufika pale Kisongo gerezani kipindi wale watuhumiwa wa mauaji ya Kimball wa Rwanda Banyamulenge wakiwa wamewekwa mahabusu pale wale watuhumiwa japo wengi walihukumiwa kunyongwa baada ya hukumu zao lakini wakati wakiwa mahabusu waliishi kwa Raha sana pale Kisongo

Sero zao zilikuwa gorofani na walipata chakula kizuri na uhuru wa kutosha wa kukutana na watu wa nje na ndani ya gereza na pia walipata habari zote kupitia magazeti Tena na station television Tena za nchini kwao

Na pia wakati wa utawala wa Benjamin kulikuwa na mfungwq mmoja alofungwa kwa kesi ya utakatishaji wa FEDHA akiitwa Justin Nyari huyu jamaa alikuwa akiishe kwenye sero maalumu Kule gerezani Tena akiwa na ulinzi maalumu na akipatiwa huduma zote za kibinadamu Tena kwa wakati

Sasa mie sijui gereza la Ukonga jinsi lilivyo ila kwa kumuweka Tundu Lissu kwenye sero za mitaro ya maji machafu ni aibu kwa taifa na Moja kwa Moja Sasa serikali hii imejitanabaisha kuwa ni kama tu Ile ya makaburu walichomfanyia Mandela tofauti ni rangi tu

Kifupi baada ya kuona risasi zilidunda... Kwa sasa wanatafuta kila namna wam-malize.
But, Watakufa wao kabla yake!
 
Ili iweje
Watu wamedhamiria kukuchomoa halafu wakuweke VIP
 
mzalendo wa kweli hana budi kuumia kwa ajili ya nchi yake. Kupata u-Rais kwa kudra kunamfanya mtu akose uchungu na nchi yake. Rais mzalendo anayejua hata uchungu wa jela atatufaa sana waTanganyika.

God is good, always !
 
Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa

Nasema hivi kwa sababu niliwahi kufika pale Kisongo gerezani kipindi wale watuhumiwa wa mauaji ya Kimball wa Rwanda Banyamulenge wakiwa wamewekwa mahabusu pale wale watuhumiwa japo wengi walihukumiwa kunyongwa baada ya hukumu zao lakini wakati wakiwa mahabusu waliishi kwa Raha sana pale Kisongo

Sero zao zilikuwa gorofani na walipata chakula kizuri na uhuru wa kutosha wa kukutana na watu wa nje na ndani ya gereza na pia walipata habari zote kupitia magazeti Tena na station television Tena za nchini kwao

Na pia wakati wa utawala wa Benjamin kulikuwa na mfungwq mmoja alofungwa kwa kesi ya utakatishaji wa FEDHA akiitwa Justin Nyari huyu jamaa alikuwa akiishe kwenye sero maalumu Kule gerezani Tena akiwa na ulinzi maalumu na akipatiwa huduma zote za kibinadamu Tena kwa wakati

Sasa mie sijui gereza la Ukonga jinsi lilivyo ila kwa kumuweka Tundu Lissu kwenye sero za mitaro ya maji machafu ni aibu kwa taifa na Moja kwa Moja Sasa serikali hii imejitanabaisha kuwa ni kama tu Ile ya makaburu walichomfanyia Mandela tofauti ni rangi tu

huyo mahabusu ni mropokaji tu, huduma za kimahabusu zote anapata vizuri kama watuhumiwa wengine na hana haja ya kuwekwa vip hata kidogo
 
Mkuu ulifaulu somo la kiswahili kigumu! Tambua kuwa, kuna yofauti kati ya " mhaini na kuwa na kesi ya uhaini".
Kwa hiyo hata kibaka mtaani akiona maisha magumu mtaani anaanzisha kesi ya uhaini ili akakae VIP gerezani ale kuku kwa mrija

Mbona Tutapata watuhumiwa uhaini kibao

Tii sheria bila shurti usivunje sheria kuwinda VIP gerezani sababu umepigika maisha mtaani

Lisu hana kazi ya kumwingizia kipato Tanzania ndio maana anawinda VIP gerezani
 
Back
Top Bottom