Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Brock Lesnar ni hatar naskia alkuwa boxer ye ndiye alyevunja streak. sa hivi ni 21-1
Lesnar ni pro wrestler na alikuwepo WWE akiwa mdogo akiwa na miaka ishirini na kadhaa...
Baada ya hapo akaachaba na mieleka akahamia upande wa mchezo wa ngumi na mateke UFC...
Then akatoka huko na kurudi WWE lakini kwa contract ya kutokea nyakati maalumu tu...
Ana uhasama mkubwa mno na The Undertaker na ulianza zamani kabla hata hajaondoka WWE kwenda UFC...
Alivyorudi ndio wakamalizana na 'The Deadman walking' kwa mtanange wa Wrestlemania 30 na akaivunja ile rekodi ya kutopigwa kwa The Undertaker