Mieleka: Mwanamieleka afariki Dunia katika pambano

Mieleka: Mwanamieleka afariki Dunia katika pambano

Brock Lesnar ni hatar naskia alkuwa boxer ye ndiye alyevunja streak. sa hivi ni 21-1

Lesnar ni pro wrestler na alikuwepo WWE akiwa mdogo akiwa na miaka ishirini na kadhaa...

Baada ya hapo akaachaba na mieleka akahamia upande wa mchezo wa ngumi na mateke UFC...

Then akatoka huko na kurudi WWE lakini kwa contract ya kutokea nyakati maalumu tu...

Ana uhasama mkubwa mno na The Undertaker na ulianza zamani kabla hata hajaondoka WWE kwenda UFC...

Alivyorudi ndio wakamalizana na 'The Deadman walking' kwa mtanange wa Wrestlemania 30 na akaivunja ile rekodi ya kutopigwa kwa The Undertaker
 
Mzee kumbe upo na huku. Safi sana. Mieleka huwa inanipa burdani sana. Akina Cena, Undertaker, Rey, Guerero (RIP), the Animal, Tripe T, Randy, nk. Ila kusema kweli mimi nawazimia Rey na Cena.

Kuna watu ni wagumu kukubal kushndwa hata umbane vip hawezi ku tap out, Cena na Undertaker ni miongoni mwao, Cena anapendewa ujasiri, good heart kama hero vile, lakini hana mapigo makali.
 
Hapana, nawakumbuka tu hao. Aliyekufa hapo ni Guerero aliyekuwa rafiki mkubwa sana wa Rey.

Guerero alikuwa swaiba sana Edge, na Cousin wa Vicky Guerero (not very sure) Ila walitengeneza matukioo sana
 
mkuu umenikumbusha Chris Benoit na Umaga

huyu Lesner ana nguvu sana.

hivi Vince Mcmahon huwa anacheza au huwa analeta tu burdani ulingoni? Nakumbuka zamani alikuwa mchezaji lakini akavunjika miguu kama sikosei na ndiye mmiliki wa WWE.

Chriss Benoit alikuwa mtu weird sana anapenda sana na haogop kutake risk alijiua yey na familia yake.
Vince Mcmahon ni mwenyekiti wa WWE na anashare kubwa sana pale, Shein mwanae na Bint yake ni wanamieleka pia ila kuna Randy aliichakaza hii family na kundi lale la The Legacy
Lesner ni so powerful huyu jamaa Cena mwenyewe anamgwaya
 
Mzee kumbe upo na huku. Safi sana. Mieleka huwa inanipa burdani sana. Akina Cena, Undertaker, Rey, Guerero (RIP), the Animal, Tripe T, Randy, nk. Ila kusema kweli mimi nawazimia Rey na Cena.

Bila kumsahau bingwa wa kuongea Tripple H.
R.I.P Chris Benoit pia.
 
Mdau randy amerudishwa tyt,na wakatag team na seth against roman na mzee wa yes yes yes,waliibuka kidedea kina roman reigns ofcoz,nampenda sn roman reigns

Roman aka the Power house, yupo strong sana mshkji, huyu anatakiw achape Lesner
 
Bila kumsahau bingwa wa kuongea Tripple H.
R.I.P Chris Benoit pia.

Tripple H alikuwa anakaza sana kipindi kile cha DX pemben akiwa na mzee Heart break kick show stoper Shawn Michael, ila sasa kapewa uongozi kawa laini
 
Lesnar ni pro wrestler na alikuwepo WWE akiwa mdogo akiwa na miaka ishirini na kadhaa...

Baada ya hapo akaachaba na mieleka akahamia upande wa mchezo wa ngumi na mateke UFC...

Then akatoka huko na kurudi WWE lakini kwa contract ya kutokea nyakati maalumu tu...

Ana uhasama mkubwa mno na The Undertaker na ulianza zamani kabla hata hajaondoka WWE kwenda UFC...

Alivyorudi ndio wakamalizana na 'The Deadman walking' kwa mtanange wa Wrestlemania 30 na akaivunja ile rekodi ya kutopigwa kwa The Undertaker

Nina huakika wakiwa One on One hata na Cena, Cena hachomoi kuna siku alimchezesh kipigo Cena kitakatifu, tatizo moja jamaaa ana hasira sana.
 
Kuna watu ni wagumu kukubal kushndwa hata umbane vip hawezi ku tap out, Cena na Undertaker ni miongoni mwao, Cena anapendewa ujasiri, good heart kama hero vile, lakini hana mapigo makali.

"You can't see me" sio pigo kali, Umenikumbusha pigo moja hatari sana linaitwa "SPEAR" la Goldberg, alikuwa akikupa hii game over, na Kurt Angle akishika mguu wako una-tap out, Benoit (R.I.P) akikushika kichwa una-tap out!
Rey Mysteria ana pigo lake linaitwa 619, yawezekana ndo limemmaliza huyu aliyefariki.
 
Tripple H alikuwa anakaza sana kipindi kile cha DX pemben akiwa na mzee Heart break kick show stoper Shawn Michael, ila sasa kapewa uongozi kawa laini

Yaa, siku hizi namuona kwenye uongozi, ila bado akiona upande wake aliotaka ushinde unalemewa, huwa anaingilia.
Nilikuwa nampenda Show stopper na uvumilivu wake, akitoa the heart break kick, hata uwe njemba kiasi gani, lazima ukae!
 
Nina huakika wakiwa One on One hata na Cena, Cena hachomoi kuna siku alimchezesh kipigo Cena kitakatifu, tatizo moja jamaaa ana hasira sana.

Block Lesnar ni mnyama, hata the animal (Batista) hapo hafui dafu.
 
Yaa, siku hizi namuona kwenye uongozi, ila bado akiona upande wake aliotaka ushinde unalemewa, huwa anaingilia.
Nilikuwa nampenda Show stopper na uvumilivu wake, akitoa the heart break kick, hata uwe njemba kiasi gani, lazima ukae!
Triple H ni minority owner wa WWE na ni member wa Board of Directors
 
"You can't see me" sio pigo kali, Umenikumbusha pigo moja hatari sana linaitwa "SPEAR" la Goldberg, alikuwa akikupa hii game over, na Kurt Angle akishika mguu wako una-tap out, Benoit (R.I.P) akikushika kichwa una-tap out!
Rey Mysteria ana pigo lake linaitwa 619, yawezekana ndo limemmaliza huyu aliyefariki.
hakika 619 ndio iliyommaliza El Hijo
 
Mkuu mimi ni mpenzi sana wa mieleka na nimekuwa nikiangalia kuanzia WWF, WWE na TNA. Lakini huwa kusema kweli nashindwa kuelwa hiyo falsafa ya action is fake but the pain is real. Hivi kwa mfano wakati Rey anawaweka kwenye kamba wale wapinzani wake na kuwapiga double kick, huwa ni fake?
Kitu kingine ambacho huwa kinanishangaza ni kwamba kila mchezaji ana namana yake ya kumaliza pambano.

brother kimbunga,kuna articles nyingi tu mtandaoni zinazoeleza U-fake wa mieleka hasa hiyo ya WWF,WWE na TNA,moja wapo ni HII HAPA,ukipata wasaa unaweza kuisoma na kupata jibu ya swali lako.

au ngonja nikuwekee kipande cha maelezo. "The art form that wrestlers participate in is very dangerous and has even resulted in death for those that have made a mistake in the ring. While a WWE wrestler would never intentionally hurt his opponent, accidents do happen. It is very rare for any wrestler to end their career without suffering a major injury at one point in their career. However, sometimes the physical nature of the sport allows the writers to create a fake injury. To help you determine which injuries are real and which are fake, I have created a wrestling disabled list that differentiates the real from the fake. Even when they don't get injured, the sport is very physically demanding and the constant repetition and travel take a very physical toll on the wrestlers".
 
Ila na mimi nilisikia john cena amefariki. Ni kweli wada
 
Vin sio pro wrestler ni promoter tu na zaidi ni CEO wa WWE...

Ukimuona au ulivyokuwa ukimuona jukwaani ilikuwa ni sehemu ya script tu za episodes za wakati huo kunogesha stori...

Kama enzi zile za Hulkmania, hata wakati wa Stone Cold, wakati wa uhasama ule wa Umaga vs Bob Lashley etc

dah vince alipiga mkwara mwezi mzima...ila at the end Donald akomnyoa...nilichukia sana.
 
Back
Top Bottom