Kwani Dola ndio uchumi? Majengo kama haya na vifaa vyake Yamejengwa kwenye hospital zote Tanzania nzima.uchumi gani mkuu,$$ inarumbuka namna hii
Kwani si masifu tu ndio mnaweza awamu hii. Kungekuwa kuna uhalisia japo 50% nchi ingekuwa pepoUjinga ndio umekujaa kichwani huna hoja Wala content,hazina Haina pesa imegilisika πππ
View: https://www.instagram.com/reel/CwA4Ol8M6yW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Iwe pepo mara ngapi?Kwani si masifu tu ndio mnaweza awamu hii. Kungekuwa kuna uhalisia japo 50% nchi ingekuwa pepo
Iwe pepo mara ngapi?
Mwanza huko wanalalamika mgao wa maji tangu Samia ashike madaraka wakati wako karibu na ziwa alafu eti uchumi umekua,la labda uchumi wa Mama yako.Wewe ambae sio jangili una Msaada gani?
Kazi nzuri kama hii ni ubunifu wa Kiongozi mwenye uwezo sio nyumbu waliokulia kuangalia vijambio vya Ng'ombe
View: https://youtu.be/eFUQWO_dWsw
Baba Yao Rais wa Wanyonge aliyefanya makubwa Kwa nini hakuwapa maji?Mwanza huko wanalalamika mgao wa maji tangu Samia ashike madaraka wakati wako karibu na ziwa alafu eti uchumi umekua,la labda uchumi wa Mama yako.
Ulikuwa flat kivipi wakati WB na IFM walisifu Serikali ya Magufuli kwa kuingiza taifa uchumi wa kati! wakati wa Magufuli, ndio tuliona Masoko makubwa na madaraja na mabarabara yalijengwa kwa kasi,tena kilikuwa kipindi kigumu cha Corona, Sasahivi Samia anasingizia Ukreen eti ndio inapandisha vitu bei pamoja na mafuta utafikiri tanzania ndio uwanja wa mapambano.aingie mamako we mbwa? Mambo hayo ameyafanya kwa jitihada na akili zake, yule mshamba hajafanya kitu ndio maana umeambiwa kipindi chake uchumi ulikuwa flat, au huelewi hata maana ya flat? Yaani mpumbavu ni mpumbavu tu haelimiki hata ungefundishwa na malaika
Serikali iliyozalisha maelfu ya Machinga na maskini,ilishindwa Kuajiri na kutengenezea Watoto madawati ilikuwa inasimamia uchumi upi Sasa?Ulikuwa flat kivipi wakati WB na IFM walisifu Serikali ya Magufuli kwa kuingiza taifa uchumi wa kati! wakati wa Magufuli, ndio tuliona Masoko makubwa na madaraja na mabarabara yalijengwa kwa kasi,tena kilikuwa kipindi kigumu cha Corona, Sasahivi Samia anasingizia Ukreen eti ndio inapandisha vitu bei pamoja na mafuta utafikiri tanzania ndio uwanja wa mapambano.
Wakati wa Magufuli maji yalikuwa yanatoka kila siku baada ya kuingia huyu legelege kila kitu kimekufa,umeme ulikuwa unalipa sh 27,000/tu unapata umeme,maji ulikuwa unakopeshwa unalipa kidokidogo, Sasahivi miradi hiyo yote imeenda na maji,harafu eti Samia kakuza uchumi, wakati uduma muhimu kama maji na umeme kuwa navyo nikama anasa.Baba Yao Rais wa Wanyonge aliyefanya makubwa Kwa nini hakuwapa maji?
Wasubirie mradi wa Maji unaoendelea ukamilike
View: https://twitter.com/maji_mowi/status/1688553558914760705?t=9xY0ZZH3YCBJ4F1LH9Vutg&s=19
Acha kukariri sijakuuliza Hio asilimia imepatikana vipi swali jepesi Nimekuuliza usijitungie swali jengine na kujibu.Inflation aiangaliwi hivyo
Wanaangalia either
Bei ya bidhaa mwezi uliopita na mwezi huu. Tofauti yake ndio inflation au deflation.
Mfano bei ya mchele mwezi ulipita kilo 2800 mwezi huu 3200. Tofauti 400
Inflation = (400 x 100)/2800 = 14.2%
Inflation ya bei ya mchele ni 14.2%
Wanaweza kuangalia pia bei ya bidhaa mwezi huu na mwaka uliopita wakafanya hesabu hizo hizo kupata inflation ya mwaka.
Inflation ya nchi nzima kunakuwa na market basket (of goods and services) ya bidhaa na huduma wanazochagua wao, wanazifanyia hizo hesabu; halafu hizo percentage zote zinafanyiwa average ndio unapata national inflation. Yote hayo
Maji yatoke wapi,Kuna hata mradi mmja wa Maji aliwahi zindua au kuweka Jiwe la msingi?Wakati wa Magufuli maji yalikuwa yanatoka kila siku baada ya kuingia huyu legelege kila kitu kimekufa,umeme ulikuwa unalipa sh 27,000/tu unapata umeme,maji ulikuwa unakopeshwa unalipa kidokidogo, Sasahivi miradi hiyo yote imeenda na maji,harafu eti Samia kakuza uchumi, wakati uduma muhimu kama maji na umeme kuwa navyo nikama anasa.
M
Bei ya Umeme si Ile ile? Kilichoongezeka ni Hio buku kwa mwezi, na si Kweli kwamba wakati wa Magu maji yalitoka mda wote, Nchi hii toka Ipate Uhuru haijawahi kuwa na supply ya kutosha ya maji kwa Raisi yoyote yule.Wakati wa Magufuli maji yalikuwa yanatoka kila siku baada ya kuingia huyu legelege kila kitu kimekufa,umeme ulikuwa unalipa sh 27,000/tu unapata umeme,maji ulikuwa unakopeshwa unalipa kidokidogo, Sasahivi miradi hiyo yote imeenda na maji,harafu eti Samia kakuza uchumi, wakati uduma muhimu kama maji na umeme kuwa navyo nikama anasa.
M
Magufuli alikuta watoto wakikaa chini,alipiga mkwala wakuu wa mikoa yote kuwa akiona mwanafunzi anakaa chini bila dawati mkuu huyo hatakuwa hana kazi mpaka Magufuli anafariki hakuna mwanafunzi aliyekuwa anakaa chini,Muhimbili wajawazito walikuwa wanakosa hadi vitanda vya kujifungulia mashine za X-ray vipimo vyote vikubwa tulikuwa tunaelekezwa regency mpaka anafariki hayo mambo yalikuwa hayapo tena.Serikali iliyozalisha maelfu ya Machinga na maskini,ilishindwa Kuajiri na kutengenezea Watoto madawati ilikuwa inasimamia uchumi upi Sasa?
Naona wewe unaishi kwa mjomba kula kulala tu,nenda Tanesco wambie nataka kuunganishiwa umeme uone cost utakazoletewa alafu unaambiwa mita zakusubiri.Bei ya Umeme si Ile ile? Kilichoongezeka ni Hio buku kwa mwezi, na si Kweli kwamba wakati wa Magu maji yalitoka mda wote, Nchi hii toka Ipate Uhuru haijawahi kuwa na supply ya kutosha ya maji kwa Raisi yoyote yule.
Sema tozo na kodi lukuki zilizoongezwa kila kona ndizo zinazojenga. Hatoi hela yake mfukoni tunakamuliwa walalahoiWewe ni mjinga sana na hujui unachoongea,nakupa mfano maeneo 2 tuu ,
1.Maelfu ya miradi ya maji Nchi nzima alikuwa anamalizia wapi?
2.Mamia ya miradi ya umwagiliaji Nchi nzima alikuwa anamalizia sehemu gani?
Mwisho anaemalizia anaweza kufanya mara 2 Kwa miaka 2 kushinda aliyekaa labda miaka 5 au 10?
Unajua Samia anajema shule ngapi kuanzia Primary Hadi A level? Unajua anajenga Veta ngapi Tanzania hii? Unajua anajenga universities ngapi Nchini?
Hiyo ni Kati ya mifano Mingi sana nayoweza kukujazia seva za jf Bure.
Hakuna Rais wa kumlinganisha na Samia kwenye delivery kwa.waliopita hayupo Kwa taarifa Yako.
Rais gani huyo alishindwa kujenga madarasa na kununua madawati,Sasa mkwara ndio kujenga? Mbona alikuwa anakataza watu wasipigie picha kuonesha msongamano kwenye wa Watoto?Magufuli alikuta watoto wakikaa chini,alipiga mkwala wakuu wa mikoa yote kuwa akiona mwanafunzi anakaa chini bila dawati mkuu huyo hatakuwa hana kazi mpaka Magufuli anafariki hakuna mwanafunzi aliyekuwa anakaa chini,Muhimbili wajawazito walikuwa wanakosa hadi vitanda vya kujifungulia mashine za X-ray vipimo vyote vikubwa tulikuwa tunaelekezwa regency mpaka anafariki hayo mambo yalikuwa hayapo tena.
Huna hoja,kwani nyie mlikatazwa kuweka tozo Ili mlete maji Kwa watu?Sema tozo na kodi lukuki zilizoongezwa kila kona ndizo zinazojenga. Hatoi hela yake mfukoni tunakamuliwa walalahoi