Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

aingie mamako we mbwa? Mambo hayo ameyafanya kwa jitihada na akili zake, yule mshamba hajafanya kitu ndio maana umeambiwa kipindi chake uchumi ulikuwa flat, au huelewi hata maana ya flat? Yaani mpumbavu ni mpumbavu tu haelimiki hata ungefundishwa na malaika
Ulikuwa flat kivipi wakati WB na IFM walisifu Serikali ya Magufuli kwa kuingiza taifa uchumi wa kati! wakati wa Magufuli, ndio tuliona Masoko makubwa na madaraja na mabarabara yalijengwa kwa kasi,tena kilikuwa kipindi kigumu cha Corona, Sasahivi Samia anasingizia Ukreen eti ndio inapandisha vitu bei pamoja na mafuta utafikiri tanzania ndio uwanja wa mapambano.
 
Serikali iliyozalisha maelfu ya Machinga na maskini,ilishindwa Kuajiri na kutengenezea Watoto madawati ilikuwa inasimamia uchumi upi Sasa?
 
Baba Yao Rais wa Wanyonge aliyefanya makubwa Kwa nini hakuwapa maji?

Wasubirie mradi wa Maji unaoendelea ukamilike

View: https://twitter.com/maji_mowi/status/1688553558914760705?t=9xY0ZZH3YCBJ4F1LH9Vutg&s=19

Wakati wa Magufuli maji yalikuwa yanatoka kila siku baada ya kuingia huyu legelege kila kitu kimekufa,umeme ulikuwa unalipa sh 27,000/tu unapata umeme,maji ulikuwa unakopeshwa unalipa kidokidogo, Sasahivi miradi hiyo yote imeenda na maji,harafu eti Samia kakuza uchumi, wakati uduma muhimu kama maji na umeme kuwa navyo nikama anasa.
M
 
Inflation aiangaliwi hivyo

Wanaangalia either

Bei ya bidhaa mwezi uliopita na mwezi huu. Tofauti yake ndio inflation au deflation.

Mfano bei ya mchele mwezi ulipita kilo 2800 mwezi huu 3200. Tofauti 400

Inflation = (400 x 100)/2800 = 14.2%
Inflation ya bei ya mchele ni 14.2%

Wanaweza kuangalia pia bei ya bidhaa mwezi huu na mwaka uliopita wakafanya hesabu hizo hizo kupata inflation ya mwaka.

Inflation ya nchi nzima kunakuwa na market basket (of goods and services) ya bidhaa na huduma wanazochagua wao, wanazifanyia hizo hesabu; halafu hizo percentage zote zinafanyiwa average ndio unapata national inflation. Yote hayo
Acha kukariri sijakuuliza Hio asilimia imepatikana vipi swali jepesi Nimekuuliza usijitungie swali jengine na kujibu.

Bei ya Bidhaa X ni 1000 imepanda kwa asilimia 3 kila mwezi kuanzia January hadi December utatumia Formula Gani kujua Bei ya Hio Bidhaa December ikiiisha?
 
Wakati wa Magufuli maji yalikuwa yanatoka kila siku baada ya kuingia huyu legelege kila kitu kimekufa,umeme ulikuwa unalipa sh 27,000/tu unapata umeme,maji ulikuwa unakopeshwa unalipa kidokidogo, Sasahivi miradi hiyo yote imeenda na maji,harafu eti Samia kakuza uchumi, wakati uduma muhimu kama maji na umeme kuwa navyo nikama anasa.
M
Maji yatoke wapi,Kuna hata mradi mmja wa Maji aliwahi zindua au kuweka Jiwe la msingi?

Hakuna vya Bure ,vya Bure ndio viliharibu Kila kitu awamu ya 5 Hadi ofisi kukosa peni,Tanesco ilikuwa mbioni kujifia kama mifuko ya Hifadhi za jamiaa Kwa sababu ya yule mkurupukaji Rais wa Wanyonge na Machinga 😂😂

View: https://twitter.com/maji_mowi/status/1690731301102370817?t=kkztBhCbhdKGnutGRXrRgQ&s=19

View: https://twitter.com/maji_mowi/status/1690731311592316928?t=TOWoRCagw3V7IpFSdTQuHQ&s=19
 
Wakati wa Magufuli maji yalikuwa yanatoka kila siku baada ya kuingia huyu legelege kila kitu kimekufa,umeme ulikuwa unalipa sh 27,000/tu unapata umeme,maji ulikuwa unakopeshwa unalipa kidokidogo, Sasahivi miradi hiyo yote imeenda na maji,harafu eti Samia kakuza uchumi, wakati uduma muhimu kama maji na umeme kuwa navyo nikama anasa.
M
Bei ya Umeme si Ile ile? Kilichoongezeka ni Hio buku kwa mwezi, na si Kweli kwamba wakati wa Magu maji yalitoka mda wote, Nchi hii toka Ipate Uhuru haijawahi kuwa na supply ya kutosha ya maji kwa Raisi yoyote yule.
 
Serikali iliyozalisha maelfu ya Machinga na maskini,ilishindwa Kuajiri na kutengenezea Watoto madawati ilikuwa inasimamia uchumi upi Sasa?
Magufuli alikuta watoto wakikaa chini,alipiga mkwala wakuu wa mikoa yote kuwa akiona mwanafunzi anakaa chini bila dawati mkuu huyo hatakuwa hana kazi mpaka Magufuli anafariki hakuna mwanafunzi aliyekuwa anakaa chini,Muhimbili wajawazito walikuwa wanakosa hadi vitanda vya kujifungulia mashine za X-ray vipimo vyote vikubwa tulikuwa tunaelekezwa regency mpaka anafariki hayo mambo yalikuwa hayapo tena.
 
Bei ya Umeme si Ile ile? Kilichoongezeka ni Hio buku kwa mwezi, na si Kweli kwamba wakati wa Magu maji yalitoka mda wote, Nchi hii toka Ipate Uhuru haijawahi kuwa na supply ya kutosha ya maji kwa Raisi yoyote yule.
Naona wewe unaishi kwa mjomba kula kulala tu,nenda Tanesco wambie nataka kuunganishiwa umeme uone cost utakazoletewa alafu unaambiwa mita zakusubiri.
 
Hili la bandari limejenga chuki mioyoni mwetu tuliomuamini na kujaribu kuwabadirisha mawazo waliokua hawamkubali.

Akionekana kwatv, kila mtu anafyonya kivyake......
Haijakaa sawa hii kabisa ajitafakari sana.
 
Wewe ni mjinga sana na hujui unachoongea,nakupa mfano maeneo 2 tuu ,
1.Maelfu ya miradi ya maji Nchi nzima alikuwa anamalizia wapi?

2.Mamia ya miradi ya umwagiliaji Nchi nzima alikuwa anamalizia sehemu gani?

Mwisho anaemalizia anaweza kufanya mara 2 Kwa miaka 2 kushinda aliyekaa labda miaka 5 au 10?

Unajua Samia anajema shule ngapi kuanzia Primary Hadi A level? Unajua anajenga Veta ngapi Tanzania hii? Unajua anajenga universities ngapi Nchini?

Hiyo ni Kati ya mifano Mingi sana nayoweza kukujazia seva za jf Bure.

Hakuna Rais wa kumlinganisha na Samia kwenye delivery kwa.waliopita hayupo Kwa taarifa Yako.
Sema tozo na kodi lukuki zilizoongezwa kila kona ndizo zinazojenga. Hatoi hela yake mfukoni tunakamuliwa walalahoi
 
Magufuli alikuta watoto wakikaa chini,alipiga mkwala wakuu wa mikoa yote kuwa akiona mwanafunzi anakaa chini bila dawati mkuu huyo hatakuwa hana kazi mpaka Magufuli anafariki hakuna mwanafunzi aliyekuwa anakaa chini,Muhimbili wajawazito walikuwa wanakosa hadi vitanda vya kujifungulia mashine za X-ray vipimo vyote vikubwa tulikuwa tunaelekezwa regency mpaka anafariki hayo mambo yalikuwa hayapo tena.
Rais gani huyo alishindwa kujenga madarasa na kununua madawati,Sasa mkwara ndio kujenga? Mbona alikuwa anakataza watu wasipigie picha kuonesha msongamano kwenye wa Watoto?

Yule ni failure tuu hamna kitu.Kazi nzuri ya Samia hii hapa

Anajenza zaidi ya shule 184 Mpya Sekondari Kila Wilaya

Anajenga shule Mpya 26 zaKidato Cha 5 na 6

Anajenga zaidi ya shule 1000 Mpya za Msingi

Hapo sijazungumzia vyumba vya madarasa noo,hizo zote ni shule moyaaaa ,

Mwisho ule ujinga wa awamu ya 5 wa kuingiza Watoto shule Kwa mafungu kama ya nyanya umekoma awamu hii hakuna

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1690951775052763136?t=O1K9YmsqBM72qjG5ISsvsA&s=19
20230817_220415.jpg
20230817_220054.jpg
20230817_220322.jpg
 
Sema tozo na kodi lukuki zilizoongezwa kila kona ndizo zinazojenga. Hatoi hela yake mfukoni tunakamuliwa walalahoi
Huna hoja,kwani nyie mlikatazwa kuweka tozo Ili mlete maji Kwa watu?

Mbona mlikuwa mnatuuzia vitambulisho vya Machinga pesa mlikuwa mnapeleka wapi? Kununua Wapinzani? 😁😁
 
Back
Top Bottom