Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

Kweli sakata DP world nalo limo kwenye ilani ya CCM. Jamaaani!, watanzania tumelogwa
 
Shkurani kwa mada nzuri mkuu, Mimi siyo mtaalam, ila nimeona bank bado wanaripoti asilimia karibu chini ya 5, ya hii mikopo chechefu, hasa kwa bank ulizotaja.
Labda km nimekosea kuangalia.
Yaah kwa sasa huwezi kuona tatizo la mikopo chechefu kwasababu mazingira ya biashara generally ni mazuri, na serviceability ya mikipo ni mizuri. Ila ikitokea any stress in the economy, rate ya mikopo chechefu itaanza ku shoot. Particularly hii kukosekana kwa dollar kunaweza athiri serviceability ya mikopo ambayo ipo denominated in USD
 
Umesahau ya kwamba population ndo determining factor ya per capita. Kwa hiyo usione eti $91 kwa miaka 6 kitu kidogo wakati population ina expand geometrically.
 
Umesahau ya kwamba population ndo determining factor ya per capita. Kwa hiyo usione eti $91 kwa miaka 6 kitu kidogo wakati population ina expand geometrically.
Irembe utakavyoiremba ila $91 kwa miaka 6 ni ndogo mno

Mkapa kaikuta Gdp per Capita $177 kaondoka ni $480 zaidi ya kudouble

Kikwete Kachukua $480 mpaka kaipeleka $1013

Then Magu $1013 mpaka $1104

Hata akili ya darasa la saba inaona Kuna jambo halipo sawa.
 
Naunga mkono hoja. Na hata kule kwenye bandari kuna walafi wamemuangusha
 
Ktk hili hata Yeye mwenyewe aweza kukubishia!!!

Pesa ni MTU, ameamua kuficha dollar!!

Twende KAZI!!!

Kichwa cha habari tu upuuzi nimekimbilia direct kusoma comments za wenye kujitambua.
 
Hakuna veta wala shule anayojenga zaidi ya kidarasa kimoja kwa hisani ya misaada ya kukubali tuna Covid.

Pesa zenyewe wanapiga wanagawa mashuleni visenti vichache vinavyowatesa wakuu wa shule kutekeleza miradi.

Tokeni hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuleta propaganda ukidhani unaongea na matahaila kama wewe! Miradi mikubwa aliyoianzisha JPM na kuboresha maisha ya msingi ya watanzania, na kufufua secta zilizokuwa zimekufa zinamfanya JPM asilinganishwe na Rais yeyote mpaka sasa! Huyu unayempigia chepeo (SSH) nitajie jambo lolote lenye mashiko lisilo la kusadikika ambalo amelifanya?
 
Kwenye maji na shule kajitahidi sana aisee uku kwetu mpaka madarasa yanakosa wanafunzi
 
Miradi ipi hiyo ya kuboresha maisha ya msingi ya watu? Punguza ujinga Mzee Samia ndio anagusa sekta za watu wa kawaida

Kilimo
Maji
Afya
Elimu
Mifugo na Uvuvi

Yote hayo anafanya mara 2 zaidi ya ilivyokuwa awamu ya 5

View: https://www.instagram.com/p/CyctcDvMfS6/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…