DaudiAiko
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 372
- 310
Kweli sakata DP world nalo limo kwenye ilani ya CCM. Jamaaani!, watanzania tumelogwaAnamalizia?! Bwawa la Nyerere alilikuta likiwa limefikia asilimia ngapi? SGR aliikuta ikiwa imefikia asilimia ngapi?! Yaani mtu anayetoka Dar kwenda Mwanza unasema anamalizia safari yake wakati ndo kwanza yupo Morogoro?! Pole sana, Samia kama ilivyo kwa Magufuli wote wametekeleza ilani ya chama chetu kwa sababu hata Magufuli na yeye kuna mengi sana aliyofanya lakini yalianzia utawala wa JK, na kuna wengine watafuata kumalizia ya Samia, na hata wakiingia CHADEMA nao yapo ya Samia watakayomalizia.