Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

Source zote Benki ya Dunia, IMF mpaka "Eye Test" zinaonesha Uchumi wetu unakua kwa kasi sasa hivi. Njoo Kariakoo Uone Frame zilivyopanda bei, Vilemba vya Milioni 70 vimerudi, Mzunguko mkubwa etc.
Ukisoma economic reports za hayo mashirika IMF/WB hata wao source zao ni data za NBS, wizara ya fedha, BoT; ndio wanazotumia kufanyia economic modelling and trends.

Embu kaangalie sasa data za markets basket NBS wanazotumia kupata inflation ya 5% linganisha price of goods walizoweka wao na bei halisi mtaani. Uzushi mtupu ili kuweka sura nzuri wanashusha Bei balaa, real inflation mwaka jana aikuwa chini ya 10%.

Nchi ya uongo uongo tu hiyo, jambo pekee huyu mama alilofanya ni hilo la bandari halafu ndio analaumiwa nalo.
 
Mkuu Mushi, kwa heshima na Taadhima, maoni yako ninayaheshimu.

Nikuambie tu Ukweli utabakia ukweli, katika sector zote ulizozitaja ni John Pombe Magufuli peke yake ndie mwenye takwimu nzuri.

Pia, chini ya utawala wa Late Prezida John Pombe Magufuki Tanzania ilishuhudia moja ya ukuaji mkubwa wa uchumi barani Afrika(6% kwa wastani kwa mwaka kwa mujibu wa IMF) na kuhama kutoka katika kundi la nchi za kipato cha chini hadi nchi za kipato cha wastani wa lower middle income countries.
Hayo maoni yako yanaweza zingatiwa. Ila Ukweli lazima ubakie Ukweli.

Kama ulivyoanza, nitamalizia.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
 
Picha yako mkuu namba ya simu mkoa ulipo, tukuangalizie sehemu ya kukupachika mimi HR wa uteuzi.
 
Wewe zaidi ya chuki na ubishi wa Kila kitu hunaga content ni kama una ugonjwa wa akili yaani ilimradi ubishe sijui walikuzaaje.

Hata huko unakofanyia mishe itakuwa ni kero Kwa wanajamii πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weka takwimu za JPM acha ujinga wako hapa.

Ulisoma hii makala hapa utaelewa kwamba hizi banks zote zilipata shida Hadi Kufilisika awamu ya Magufuli.

Ila nyie mashabiki wake Huwa hamtaki ukweli

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1691494901450518536?t=nohnjwQNmPlPP1wrXSLHdQ&s=19
 
Nitakubali endapo ukija na supported facts... otherwise, nakuchukulia kama uliyopotea njia kama wenzako wenye mitizamo kama wewe.

Kuandika tu 'Rubbish & nonsense' hakukufanyi wewe kuonekana bora. Zaidi zaidi inakufanya uonekane mjinga.
Hivi wewe Mkuu ni mgeni na watu wa humu jf? Utajichosha Bure Hawa Wana chuki binafsi na Rais Samia na hii ni kutokana na sababu ambazo pascal aliwahi zieleza

-Kuwa Mzanzibari
-Muislmu
-Mwanamke/mfumo Dume.

So hakuna facts utaweka watakubali,tafuta Uzi wake unaitwa Je Rais Samia ataziweza fitina na Wabara?

Hata kelele wanazojisemeaga ooh Magufuli alijenga sijui Barabara ila Kwa tathmnini yangu as we speak hakuna Mkoa ambao hauna mradi wa Barabara kubwa n Mikoa Ile ambayo Mwendazake alishindwa kuunga Kwa lami Samia ameshaweka wakandarasi.

Ukija Tarura Bajeti yake Miaka yote ya Magufuli ilikuwa Bilioni 272 tuu ila Sasa hivi ni 1.2T Kwa mda mfupi kabisa hivyo hivyo TanRoads.

Mpaka hapo unapata picha kwamba nani amefanya vizuri.

Huu mradi hapa wa km zaidi ya 2000 at par ni Historia na game changer ya Samia.

View: https://youtu.be/OZ-kNQhVUZI
Huyu Rais tukienda nae hadi 2030 hakuna Nchi itaikamata Tanzania kwenye sekta zote za Uchumi na jamii unazozijua wewe hapa EAC.
 
Hakuna kitu, huyu Rais ni wakawaida sana, unazungumzia sijui watumishi, yeye na watu wake, wabunge kwa mwezi wanaingiza sh ngapi, ? Na kwa kazi ipi?
Ona Sasa hoja ni uchumi unaongea ujinga sijui tunakusaidiaje
 
Kwenye bandari hajajikwaa, kaanguka anguko kuu tena kaanguka kwa kubinuka
 
Ndio maana tunaziomba mamlaka za kulinda Rais zihakikishe tunafika nae 2030,Marais wengi wamepita ila kwenye uchumi in General sijaona Rais mwingine yeyote wa kutuvusha.

Wenye akili ndio wanajua huyu ni Rais lulu ila mbumbumbu wasio na uelewa na wasiojadili hoja wanamchukia Kwa sababu za uzushi na utaahira wao.

-Napenda kuona ajenda 10/30 ikileta mapinduzi ya Kilimo

-Napenda kuona mradi wa LPG ukileta Mageuzi ya Kiuchumi Tanzania

-Napenda kuona Tanzania itakavyofunguka Kwa maelfu ya miradi ya Barabara hasa EPC+F zitakavyoibadili Tanzania .

By 2030 ,Tanzania itakuwa ni Nchi nyingine kabisa kwenye sura ya uchumi wa Africa.
 
KIkubwa ni kwamba kupanda huko na kushuka ni shughuli ya CCM

Maadam mmeshasema kila mara kwamba rais fulani alikuwa bora na fulani hakuwa bora ni vyema mkatuambia hao marais walitoka chama gani?

Jambo la pili, jedwali lako la kimchongo mbona halina source? Figures za uchumi wa nchi huwa zinakuwa reflected na chanzo cha taarifa hizo.
 
Lucas Mwashambwa 3.0
akisaidiwa na mpotoshajimbobezi Choice Variable aka Bigoted Racist twaat mfumo beberu zabanga longolongo
 
Source zipo everywhere ukizitafuta hata wewe utazipata.

Ni chini ya Rais Samia ndio Tanzania yote hii husikii mtu anasumbuliwa eti akajenge sijui shule mara zahanti na blaa blaa kama hizo.

Ndani miezi 30 amejenga jumla ya shule 26 maalumu za wasichana Zenye hadhi,Mikoa 10 ya kwanza tayari hii ni awamu ya pili Mikoa 16.

Ukienda Sekondari za kawaida na shule za msingi huko Kuna utitiri.

Narudi hakuna Rais wa kumlinganisha na Samia

View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1690604093352386560?t=sfDijCzhSBBOGy241hjPtw&s=19
 
Nakubaliana nawe kuwa hakuna wa kumlinganisha na Sa100 kwa kuboronga.

Wewe ishi na figures zako za mchongo, sisi tunaishi na facts zinazoonekana.....
 
Nakubaliana nawe kuwa hakuna wa kumlinganisha na Sa100 kwa kuboronga.

Wewe ishi na figures zako za mchongo, sisi tunaishi na facts zinazoonekana.....
Wewe ni hater tuu huna hoja Wala facts utaishia hivyo hivyo.

Hakuna Rais wenu yeyote wa kumshinda Samia Kwa lolote kuandiza Uongozi Hadi delivery ,haters endeleeni kuumia

View: https://twitter.com/maji_mowi/status/1691804227180359943?t=-JVPrxB1o1E5UyFjrlO3zA&s=19
View: https://twitter.com/maji_mowi/status/1691804233144676658?t=j07yHY1Evtgfl6tt8FkOoQ&s=19
 
Nyerere
Mwinyi
Mkapa
Kikwete
Maguguli
Wote wametoka CCM

Tujuze huyo wako anatoka chama gani ili tuwe na la kujivunia?
 
Nyerere
Mwinyi
Mkapa
Kikwete
Maguguli
Wote wametoka CCM

Tujuze huyo wako anatoka chama gani ili tuwe na la kujivunia?
Kutoka ccm sio tatizo kwani Mimi nimesema wametoka Chauma? Bali tunawalunganisha hao hao waliotoka ccm.

Kama huna content nenda kajadili mambo ya Mwambukusu ndio unayaweza πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…