Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ukisoma economic reports za hayo mashirika IMF/WB hata wao source zao ni data za NBS, wizara ya fedha, BoT; ndio wanazotumia kufanyia economic modelling and trends.Source zote Benki ya Dunia, IMF mpaka "Eye Test" zinaonesha Uchumi wetu unakua kwa kasi sasa hivi. Njoo Kariakoo Uone Frame zilivyopanda bei, Vilemba vya Milioni 70 vimerudi, Mzunguko mkubwa etc.
Embu kaangalie sasa data za markets basket NBS wanazotumia kupata inflation ya 5% linganisha price of goods walizoweka wao na bei halisi mtaani. Uzushi mtupu ili kuweka sura nzuri wanashusha Bei balaa, real inflation mwaka jana aikuwa chini ya 10%.
Nchi ya uongo uongo tu hiyo, jambo pekee huyu mama alilofanya ni hilo la bandari halafu ndio analaumiwa nalo.