Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

Bora umeandika kwa wino mweusi sijasoma chochote ila bandiko lako ukweli ni 1% ila uchawa na masifu ni 99%
 

Kwanza hiyo equation uliyoweka ni ya finance sio uchumi inahusiana na maswala ya interests za hela. Nonetheless hiyo formule has nothing na hesabu za inflation kwenye uchumi si nimekuwekea na link ya NBS wanavyokokotoa inflation uone hesabu zake mbona rahisi tu kuelewa.

Pili Formula ya GDP (AD) ina variable sifuatazo,

GDP/AD (aggregate demand)
C (consumption expenditures)
I (Expenditure on investment/capital goods)
G (government expenditures)
X (value of exports)
M (value of imports)

Data zote hizo Tanzania anaekusanya ni serikali hakuna taasisi ya nje inayofanya hiyo kazi au hata iliyokuwa outsourced. Kwa hivyo hakuna mtu mwenye data zake binafsi zaidi ya serikali.

Sio Tanzania hakuna nchi yoyote utapata data kwenye taasisi binafsi zaidi ya serikali well at least for the most part.

Unaandika formula: ifuatavyo

AD = C + I + G + (X - M)

Hiyo ndio circular flow of income au GDP, sasa kuna nchi zinafanya rebase na kuweka informal sectors estimations kama sehemu ya consumption, kuna watu wanaweza ongeza numbers za government expenditures (mfano budget ambayo sio uhalisia) etc ni vitu kama hivyo ambavyo wengine awawezi verify wanatoa kwenye hesabu zao.

Unaweza pia angalia GDP kupitia PPP hiyo hadithi nyingine tena na watu wengi wanaamini PPP is more accurate. Kwa maelezo yako ni wazi uchumi sio uwanja wako.
 
Hebu nipigie hesabu kitu kinauzwa 1000 January kina inflation ya asilimia 3 kila mwezi January hadi december, hicho kitu by December kitauzwa Bei gani? Naomba na Formula uliotumia.
 
Kwann mzee aligusa sehem zote kwann agandamizie ? Kwann asiboreshe kule mzee alipasahau
Mzee au siyo? 🀣🀣🀣🀣
 
Repoa wanafanya kazi gani? Acha mbwembwe za mbuzi wewe
 
Hebu nipigie hesabu kitu kinauzwa 1000 January kina inflation ya asilimia 3 kila mwezi January hadi december, hicho kitu by December kitauzwa Bei gani? Naomba na Formula uliotumia.
Inflation aiangaliwi hivyo

Wanaangalia either

Bei ya bidhaa mwezi uliopita na mwezi huu. Tofauti yake ndio inflation au deflation.

Mfano bei ya mchele mwezi ulipita kilo 2800 mwezi huu 3200. Tofauti 400

Inflation = (400 x 100)/2800 = 14.2%
Inflation ya bei ya mchele ni 14.2%

Wanaweza kuangalia pia bei ya bidhaa mwezi huu na mwaka uliopita wakafanya hesabu hizo hizo kupata inflation ya mwaka.

Inflation ya nchi nzima kunakuwa na market basket (of goods and services) ya bidhaa na huduma wanazochagua wao, wanazifanyia hizo hesabu; halafu hizo percentage zote zinafanyiwa average ndio unapata national inflation. Yote hayo yapo kwenye link ya NBS niliyokuwekea ujasoma.

Wewe unazungumzia hesabu za interest kwenye finance na FV; hiyo sio inflation ni kitu kingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…