4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chawa wa Mama wanaweza kumtafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chawa wa Mama wanaweza kumtafuta
[emoji23][emoji23][emoji23] bora uwaambie hao machawaWanaposema uchumi umekua hawamaanishi uchumi wa walala hoi mkuu, ni uchumi wa kina madelu na nape
Kwann mzee aligusa sehem zote kwann agandamizie ? Kwann asiboreshe kule mzee alipasahauKwahiyo ulikua unataka tumfufue marehemu aje kumalizia? Marehemu yeye alimalizia vya nani?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Nini tufanye sasa , tukae tutulie tu mpk likiisha kuw janga la kidunia?Dollar ni janga la Dunia kwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mleta mada ni taahira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjinga.
[emoji23][emoji23][emoji23]ULivyotaja tu JK ndio ameharibu kabisa...yaani JK yule aliyezingirwa na genge la mafisadi.
Mungu aepushie mbali matamanio yako.
Wapi alipasahau?Kwann mzee aligusa sehem zote kwann agandamizie ? Kwann asiboreshe kule mzee alipasahau
Mpaka CIA ana data zake ambazo hazifanani na IMF ambazo hazifanani na World Bank, mambo si marahisi hivyo kama Copy and paste unayoifikiria wewe. Hao jamaa ndio wanatumia Data za Ndani lakini na wao pia wana source zao ndio maana Report ya Serikali imatofautiana na World Bank, wangekua tu wanacopy na kupaste data zetu kwanini kuwe na utofauti?
Pia inflation rate ya asilimia 3 ama 5 ni kubwa mno kama ni average, hio ni mwezi mmoja tu.
Hebu nipigie hesabu kitu kinauzwa 1000 January kina inflation ya asilimia 3 kila mwezi January hadi december, hicho kitu by December kitauzwa Bei gani? Naomba na Formula uliotumia.Kwanza hiyo equation uliyoweka ni ya finance sio uchumi inahusiana na maswala ya interests za hela. Nonetheless hiyo formule has nothing na hesabu za inflation kwenye uchumi si nimekuwekea na link ya NBS wanavyokokotoa inflation uone hesabu zake mbona rahisi tu kuelewa.
Pili Formula ya GDP (AD) ina variable sifuatazo,
GDP/AD (aggregate demand)
C (consumption expenditures)
I (Expenditure on investment/capital goods)
G (government expenditures)
X (value of exports)
M (value of imports)
Data zote hizo Tanzania anaekusanya ni serikali hakuna taasisi ya nje inayofanya hiyo kazi au hata iliyokuwa outsourced. Kwa hivyo hakuna mtu mwenye data zake binafsi zaidi ya serikali.
Sio Tanzania hakuna nchi yoyote utapata data kwenye taasisi binafsi zaidi ya serikali well at least for the most part.
Unaandika formula: ifuatavyo
AD = C + I + G + (X - M)
Hiyo ndio circular flow of income au GDP, sasa kuna nchi zinafanya rebase na kuweka informal sectors estimations kama sehemu ya consumption, kuna watu wanaweza ongeza numbers za government expenditures (mfano budget ambayo sio uhalisia) etc ni vitu kama hivyo ambavyo wengine awawezi verify wanatoa kwenye hesabu zao.
Unaweza pia angalia GDP kupitia PPP hiyo hadithi nyingine tena na watu wengi wanaamini PPP is more accurate. Kwa maelezo yako ni wazi uchumi sio uwanja wako.
Umesahau kuweka namba ya simu mkuu
Mzee au siyo? 🤣🤣🤣🤣Kwann mzee aligusa sehem zote kwann agandamizie ? Kwann asiboreshe kule mzee alipasahau
Huna hoja wewe MwambukusiRais mdini hana nafasi TANGANYIKA
Repoa wanafanya kazi gani? Acha mbwembwe za mbuzi weweKwanza hiyo equation uliyoweka ni ya finance sio uchumi inahusiana na maswala ya interests za hela. Nonetheless hiyo formule has nothing na hesabu za inflation kwenye uchumi si nimekuwekea na link ya NBS wanavyokokotoa inflation uone hesabu zake mbona rahisi tu kuelewa.
Pili Formula ya GDP (AD) ina variable sifuatazo,
GDP/AD (aggregate demand)
C (consumption expenditures)
I (Expenditure on investment/capital goods)
G (government expenditures)
X (value of exports)
M (value of imports)
Data zote hizo Tanzania anaekusanya ni serikali hakuna taasisi ya nje inayofanya hiyo kazi au hata iliyokuwa outsourced. Kwa hivyo hakuna mtu mwenye data zake binafsi zaidi ya serikali.
Sio Tanzania hakuna nchi yoyote utapata data kwenye taasisi binafsi zaidi ya serikali well at least for the most part.
Unaandika formula: ifuatavyo
AD = C + I + G + (X - M)
Hiyo ndio circular flow of income au GDP, sasa kuna nchi zinafanya rebase na kuweka informal sectors estimations kama sehemu ya consumption, kuna watu wanaweza ongeza numbers za government expenditures (mfano budget ambayo sio uhalisia) etc ni vitu kama hivyo ambavyo wengine awawezi verify wanatoa kwenye hesabu zao.
Unaweza pia angalia GDP kupitia PPP hiyo hadithi nyingine tena na watu wengi wanaamini PPP is more accurate. Kwa maelezo yako ni wazi uchumi sio uwanja wako.
Ujinga ndio umekujaa kichwani huna hoja Wala content,hazina Haina pesa imegilisika 😂😂😂Bora umeandika kwa wino mweusi sijasoma chochote ila bandiko lako ukweli ni 1% ila uchawa na masifu ni 99%
Inflation aiangaliwi hivyoHebu nipigie hesabu kitu kinauzwa 1000 January kina inflation ya asilimia 3 kila mwezi January hadi december, hicho kitu by December kitauzwa Bei gani? Naomba na Formula uliotumia.
Wewe ambae sio jangili una Msaada gani?Kwanza karudisha majangili yote yapo kwenye system