masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa.
Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania.
Tanzania ya leo si kama tunavyoifahamu kule tulikotokea.
Viongozi wa dini na wale wa jadi, wachukue nafasi zao kushauri nini kifanyike.
Matumizi ya dola tumeshaona , sana sana yanaongeza munkari na kutoelewana.
Vile vile ni ushauri tu, CCM na CHADEMA waache kutoa lugha kali kali zinaowapa viburi wanachama wao kuenenda kule tusiko kutaka.
Jumatatu njema.