masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Good observationHii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa.
Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania.
Tanzania ya leo si kama tunavyoifahamu kule tulikotokea.
Viongozi wa dini na wale wa jadi, wachukue nafasi zao kushauri nini kifanyike.
Matumizi ya dola tumeshaona , sana sana yanaongeza munkari na kutoelewana.
Vile vile ni ushauri tu, CCM na CHADEMA waache kutoa lugha kali kali zinaowapa viburi wanachama wao kuenenda kule tusiko kutaka.
Jumatatu njema.
Mkuu hii Tanzania ni yetu sote, ni bora kutengeneza mazingira ya upendo na kuvumiliana.Vizuri, hujaegemea upande wowote,dini wala chama
Mkuu tukiombea amani pekee bila kuombea chanzo cha amani yaani HAKI...tutakuwa tunatafuta tiba ya muda mfupiHii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa.
Tatizo kubwa ni watu kubadili mindset.Mkuu tukiombea amani pekee bila kuombea chanzo cha amani yaani HAKI...tutakuwa tunatafuta tiba ya muda mfupi
Umenena sawa kabisa, siasa hazina autopilot!Bunge likivunjwa,wanasiasa wakatawanyika,wengine wakakosa nafasi za kupitishwa ndani ya chama Chao,mengi yatasemwa na kuibuliwa.
Sijui nani atamfunga kengele mwenzie.
Kila mtu ananyamaza kimya kama vile hakuna kitu kilichotokea.!
Yapo yakufanyia kazi mapema,kila mtu ananyamaza kimya kama vile haoni wala kusikia yaliyotokea.
Kama taifa wazee wamebaki wachache,ambao wangesaidia ushauri wametangulia mbele ya haki.(angekuwepo Mwl.Nyerere labda angetusaidia kutoa ushauri wenye maamuzi magumu na tungesonga mbele).
Tukizingatia chochote tunachofanya leo ni kwa manufaa ya kizazi kijacho.
Tukikumbuka kuwa wananchi wengi katika taifa kwa kukadiria ni umri wa miaka 0-24,ambao ni asilimia 60%,na umri wa miaka 25-54,ni asilimia30% na wenye umri 55-65 ni asilimia7%.
Changamoto tuliyonayo kwa sasa ni "mkwamo wa ndani ya nafsi za watu ambao wanakwepa kujadili,kutekeleza na kuamua michakato yenye kusaidia taifa kwa manufaa ya vizazi vijavyo"
Mihimili yote mitatu inafahamu kuwa mchakato wa katiba ulikwama(kiporo).
Nani yupo tayari kumalizia hiki kiporo?!
Kila mtu ananyamaza kimya kama vile hakuna kitu kilichotokea.
Ufumbuzi wa leo ni bora,kuliko kesho iliyochelewa!
Haki na wajibu na ushirikishwaji kwa kila mtanzaniaCCM wanataka na kuhubiri amani pasipo haki.
Naafiki mada.Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa.
Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania.
Tanzania ya leo si kama tunavyoifahamu kule tulikotokea.
Viongozi wa dini na wale wa jadi, wachukue nafasi zao kushauri nini kifanyike.
Matumizi ya dola tumeshaona , sana sana yanaongeza munkari na kutoelewana.
Vile vile ni ushauri tu, CCM na CHADEMA waache kutoa lugha kali kali zinaowapa viburi wanachama wao kuenenda kule tusiko kutaka.
Jumatatu njema.
Amani ni zao la Haki na Uhuru, Hawa wanasiasa wasituingize chaka!Wasitulazimishe matakwa Yao kwa ajili ya matumbo Yao.Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa.
Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania.
Tanzania ya leo si kama tunavyoifahamu kule tulikotokea.
Viongozi wa dini na wale wa jadi, wachukue nafasi zao kushauri nini kifanyike.
Matumizi ya dola tumeshaona , sana sana yanaongeza munkari na kutoelewana.
Vile vile ni ushauri tu, CCM na CHADEMA waache kutoa lugha kali kali zinaowapa viburi wanachama wao kuenenda kule tusiko kutaka.
Jumatatu njema.
my friends ladides and gentlemen,Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa.
Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania.
Tanzania ya leo si kama tunavyoifahamu kule tulikotokea.
Viongozi wa dini na wale wa jadi, wachukue nafasi zao kushauri nini kifanyike.
Matumizi ya dola tumeshaona , sana sana yanaongeza munkari na kutoelewana.
Vile vile ni ushauri tu, CCM na CHADEMA waache kutoa lugha kali kali zinaowapa viburi wanachama wao kuenenda kule tusiko kutaka.
Jumatatu njema.
Uko sahihi kabisa, hiki kinachoendelea hapa nchini matunda ya mbegu mbaya ya kiutawala aliyootesha hapa nchini.Nchi imefika hapa ilipofika kwa sababu ya Magufuli, Kabla ya 2015 wakuu wa wilaya, mikoa na wakurugenzi wa Wilaya, Miji, majiiji hawakuwa hivi walivyo leo, Taasis za kusimamia haki zikaacha kutenda haki. professionalism kwenye kila kitu ikaondoka, Uchawa ikawa ndiyo sifa kuu ya mtu kuteuliwa katika nafas fulani. Uonevu ukazid, watu wakaanza kupotea na kuuawa. Bunge na mahakama vimejigeuza kuwa idara za serikali.
Tangu Ndugai na Tulia wamekalia kiti cha spika wa bunge, ni ajenda gan tangible inayomhusu mwananch wameruhusu ikajadiliwa?? au serikali imesimamiwa katika jambo gan?? zaidi sana wabunge wameguka wasifiaji wa mambo ya Rais, matokeo yake tumezalisha taifa la watu wa hovyo kabisa.
Namna pekee ya kutoka hapa ni kwanza Bunge na Mahakama vijitambue. vijue wajibu wao kwa wananchi, kwa sababu serikal isipomtendea haki mwanachi basi Bunge limtetee na mahakama impe haki yake.
Watu wanatekwa, Tulia hatak bunge lijadil na liweke maazimo maanae Tulia anataka watu waendelee kutekwa.
Watu wanapeleka kesi mahakamani wakipinga wakurugenzi kusimamia uchaguz lakini mahakama inaona ni sawa waendelee kusimamia.
Kama nchi tuna safar ndefu sana ya namna ya kutoka kwenye umagufulification.
Kunyamaza siyo amani naweza kunyamaza kwakupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwaHii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa.
Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania.
Tanzania ya leo si kama tunavyoifahamu kule tulikotokea.
Viongozi wa dini na wale wa jadi, wachukue nafasi zao kushauri nini kifanyike.
Matumizi ya dola tumeshaona , sana sana yanaongeza munkari na kutoelewana.
Vile vile ni ushauri tu, CCM na CHADEMA waache kutoa lugha kali kali zinaowapa viburi wanachama wao kuenenda kule tusiko kutaka.
Jumatatu njema.
Naungana na wewe katika hii hoja.Nchi imefika hapa ilipofika kwa sababu ya Magufuli, Kabla ya 2015 wakuu wa wilaya, mikoa na wakurugenzi wa Wilaya, Miji, majiiji hawakuwa hivi walivyo leo, Taasis za kusimamia haki zikaacha kutenda haki. professionalism kwenye kila kitu ikaondoka, Uchawa ikawa ndiyo sifa kuu ya mtu kuteuliwa katika nafas fulani. Uonevu ukazid, watu wakaanza kupotea na kuuawa. Bunge na mahakama vimejigeuza kuwa idara za serikali.
Tangu Ndugai na Tulia wamekalia kiti cha spika wa bunge, ni ajenda gan tangible inayomhusu mwananch wameruhusu ikajadiliwa?? au serikali imesimamiwa katika jambo gan?? zaidi sana wabunge wameguka wasifiaji wa mambo ya Rais, matokeo yake tumezalisha taifa la watu wa hovyo kabisa.
Namna pekee ya kutoka hapa ni kwanza Bunge na Mahakama vijitambue. vijue wajibu wao kwa wananchi, kwa sababu serikal isipomtendea haki mwanachi basi Bunge limtetee na mahakama impe haki yake.
Watu wanatekwa, Tulia hatak bunge lijadil na liweke maazimo maanae Tulia anataka watu waendelee kutekwa.
Watu wanapeleka kesi mahakamani wakipinga wakurugenzi kusimamia uchaguz lakini mahakama inaona ni sawa waendelee kusimamia.
Kama nchi tuna safar ndefu sana ya namna ya kutoka kwenye umagufulification.
Magufuli nafasi nyingi aliwapa makada wa chama,madhara yake sasa ndio tunayaona.Nchi imefika hapa ilipofika kwa sababu ya Magufuli, Kabla ya 2015 wakuu wa wilaya, mikoa na wakurugenzi wa Wilaya, Miji, majiiji hawakuwa hivi walivyo leo, Taasis za kusimamia haki zikaacha kutenda haki. professionalism kwenye kila kitu ikaondoka, Uchawa ikawa ndiyo sifa kuu ya mtu kuteuliwa katika nafas fulani. Uonevu ukazid, watu wakaanza kupotea na kuuawa. Bunge na mahakama vimejigeuza kuwa idara za serikali.
Tangu Ndugai na Tulia wamekalia kiti cha spika wa bunge, ni ajenda gan tangible inayomhusu mwananch wameruhusu ikajadiliwa?? au serikali imesimamiwa katika jambo gan?? zaidi sana wabunge wameguka wasifiaji wa mambo ya Rais, matokeo yake tumezalisha taifa la watu wa hovyo kabisa.
Namna pekee ya kutoka hapa ni kwanza Bunge na Mahakama vijitambue. vijue wajibu wao kwa wananchi, kwa sababu serikal isipomtendea haki mwanachi basi Bunge limtetee na mahakama impe haki yake.
Watu wanatekwa, Tulia hatak bunge lijadil na liweke maazimo maanae Tulia anataka watu waendelee kutekwa.
Watu wanapeleka kesi mahakamani wakipinga wakurugenzi kusimamia uchaguz lakini mahakama inaona ni sawa waendelee kusimamia.
Kama nchi tuna safar ndefu sana ya namna ya kutoka kwenye umagufulification.
Kuvumiliana kwa kukandamizana na wachache tena waliowajinga na waliojificha ktk kivuli cha dini na siasa?KWELI?!Mkuu hii Tanzania ni yetu sote, ni bora kutengeneza mazingira ya upendo na kuvumiliana.
Namkumbuka sana Mzee Rashid Kawawa na Matembezi ya Mshikamano.