Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

movie zlishatoka cku nyng xana, ya mwisho ilitoka mwaka 2008
Hakuna movie kuhusu Albert Spaggiari! Kuna documentaries na vitabu pekee.. Au nielekeze na mimi nizitafute hizo movie sababu nimetafuta sana hakuna
 
Mkuu the bold big up sana.
Pia ningeomba kama hutojali utuandalie pia story za Italian mafia koz wengi Bado wapo hai na operation zao zinaendelea uhasama wao unaendelea, pia wanakamatwa hata juzi hapa wamekamatwa ntafurahi kama ukituletea story zao from beginning
 
Bila shaka Mkuu! I will look into that..
 
Hakuna movie kuhusu Albert Spaggiari! Kuna documentaries na vitabu pekee.. Au nielekeze na mimi nizitafute hizo movie sababu nimetafuta sana hakuna
zipo mkuu sema kwa africa hazijaenea, the easy way(2008), sewers of gold (1979), the great riviera bank robbery (1979)
 
Hahahaha! Sawa Mkuu..
Mkuu inaonekana unamkubali sana Snowden
hahaha ofcoz mkuu, tunahitaji story za watu wa generation yetu km wakina snowden, wakina albert, cooper hawa co level zetu
 
Mkuu kwa kadiri ninavyo fahamu hivi ulivyovitaja ni vitabu sio movies..
hzo ni movie pia mkuu, cjakurupuka kukuorodheshea, hv unajua the hunt of D.B cooper ni movie flani ila ukiachilia mbali kwny u2bu, huwezi ipata kirahc kwny torrentz au piratesbay. HV vitu vpo sema huku kwetu tumevisubiri sana
 
Hahahaha! Sawa Mkuu..
Mkuu inaonekana unamkubali sana Snowden
Hv presenter nkuulize kitu, hv kwa kipaji cha kufasiri ulichojaliwa, kwanin ucwaze kuandaa vitabu km alivyofanya yule jamaa aliyeandika kitabu cha "wababe wa dunia" ndani kawaelezea watu mashughuli km wakna hugo chavez, carlos the jackal, che guevara e.t.c na jamaa aliuza kweli ile nakala, hv km matapeli wa mjn hapa wkna shigongo wangetoa bure nyuzi km hizi hz kweli??, mkuu inaelekea mfuko wako unasoma vizuri sana, ila km umehamua kutuburudisha bure karibu, mwisho ucje kutuchukulia dada zetu bure.
 
Hahahahah! Aisee..
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako, umeongezea uzito wa ushauri ninaoupata mara nyingi kuhusu kutoa kitabu!! Ntafanyia kazi huu ushauri effectively
 
Back
Top Bottom