Mifuko ya UTT AMIS kuanzia Januari 2024 mpaka Desemba 30 2024

kwa uchumi wa Tz kuwekeza kwenye bond na hisa ni kupoteza pesa tena sana.

Ni bora iyo pesa ya hisa au bond ufungue fix acc uweke iyo pesa utapata faida kubwa sana kuzid izo bond na hisa.

Niliwekeza hisa za bank moja apa tz hisa za milion kazaa leo ni mwaka wa7 faida niliyoipata ni kam ka mchezo tu
Iyo pesa ningewekeza kwenye biashara ata ya mpesa ningekua mbali sana ata ningeuza yebo ningekua na faida kubwa na duka lingekua kubwa sana ad leo
 
Bank uliyoweka ndio ulijichanganya. Hukuwa na uelewa kuhusu soko la hisa au ulikurupuka. Ungewekeza CRDB ungekuwa mbali sana. Then hakuna fixed account yenye faida kama Bond huo niupotoshaji
 
Nasoma Maoni ili nipate uelewa zaidi. Kwenye msiba wa Mtumishi wa TRA nilimsikia Mhe Mwingulu anamuagiza kamishna wa TRA kutafuta milioni 200 kwaajili ya kununua Bond(kama sijakosea) kwaajili ya watoto wa marehemu ziwasaidie kupata mahitaji Yao. Kwenye kuelewa zaidi hii kitu ipoje?
 
Wakinunuliwa bond za 200M kwa bond inayotoa 15% kwa mwaka watakuwa wanapewa mgao wa 30,000,000 na bado milion 200 ipo pale pale kwa kila mwaka maishs yao yote au wakiamua kuchukua bond yao itakapokuwa imeiva hawatapata mgao tena, malipo yanaweza kuwa ni yakila mwezi au baada ya miezi 3
 
Kwa maisha yetu haya. Hiyo ni hela nzuri Sana.
 
Hii nimeelewa šŸ¤
 
suala lililopo apo ni mitaji midogo na kutegemea return kubwa
hizi mifuko kwa wenye mitaji midogo wanaitumia kama njia ya kukusanya mtaji kwa kuwekeza kidogo kidogo
at least kwa mwezi unaongeza kidogo kidogo ndani ya miaka miwili hadi mitatu unakua na mtaji mzuri na faida kidogo kwenye ela yako

usichukulie kama umewekeza kama una ela ya maana.
 
Si kweli kwamba fixed account zinatoa faida zaidi ya UTT
 
Bank uliyoweka ndio ulijichanganya. Hukuwa na uelewa kuhusu soko la hisa au ulikurupuka. Ungewekeza CRDB ungekuwa mbali sana. Then hakuna fixed account yenye faida kama Bond huo niupotoshaji
This is true! Mtu aliyenunua vipande vya umoja fund kwa TZS 100 mwaka 2007 akanunua let's say vipande 10000 leo ana value ya 10m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…