Mifumo ya Rada ya Iran ilidukuliwa kabla ndege za Israel kufika, ndio maana walijipigia walivyotaka na kugeuza bila tatizo

Inshort ayatollah alikua uchi, wayahudi wakaingia wakajipigia walivyotaka kisha wakaondoka.
Inasemekana operation iliendesheshwa na marubani wa kike
 
Unapoteza muda tu hiyo jamii ni wabishi kwenye ukweli live, walibisha kuhusu Saddam, Ghadaffi, Osama, nk ila baadae hutulia
Na wewe ulivyo popoma umeletewa video Israel akipigwa ukajua ndio Iran anapigwa

Makondoo kazi mnayo
 
Iran mwenyewe kakiri mifumo yake ya ulinzi imeuawa na wanajeshi wake 4 wameuawa na wengine kujeruhiwa na kambi zake baadhi zimeharibiwa lakini wewe mfia dini wa tandale unabisha
Sijui huwa wanabishania nini wakati jamaaamekiri wameingiliwa na wamafanyiwa na madhara ni makubwa
 
Sijui huwa wanabishania nini wakati jamaaamekiri wameingiliwa na wamafanyiwa na madhara ni makubwa
Madhara ni makubwa.

Hiyo sentence aliitoa kiongozi yupi wa Iran?
Kama hakuna basi jitambue wewe na hao wanaobishiwaa bado hamjielewi kwa kuwamezesha watu maneno.
 
Iran mwenyewe kakiri mifumo yake ya ulinzi imeuawa na wanajeshi wake 4 wameuawa na wengine kujeruhiwa na kambi zake baadhi zimeharibiwa lakini wewe mfia dini wa tandale unabisha
Inashangaza sana kwamba aliyepigwa(Iran) anasema "Nimepigwa". Mataifa yanatoa habari kwamba kweli jamaa kapigwa halafu anatokea mtu pembeni "shabiki maandazi" tena wa kijiweni huku Rau madukani anasema Iran hajapigwa bali alikuwa anapangua makombora. Hawa mashabiki cjui walitaka apigwe kiasi gani ndo waseme eee sasa Amepigwa?? Inaonekana Mashabiki hawa hawana huruma hata kidogo. Walitaka Iran isawazishwe kuwa kifusi? IDF ni wastaarabu na wamechagua kwa makini na baada ya kupewa ushauri mahali pa kufinya ili Iran na Proxies wake (HAMAS, Hezbollah na Houthis) wapate maumivu makali na ya muda mrefu.
 
Hata Ayatolah akiuwawa watabisha kuwa kafa bila kudondosha Kilemba.
Ayatollah baada ya shambulio lile la uck kuamkia J'mosi, sasa hv yupo seriously sick lakini usishangae wakasema ameenda kusimamia kikao cha maandalizi kabambe ya kulipiza kisasi.
 
Ayatollah baada ya shambulio lile la uck kuamkia J'mosi, sasa hv yupo seriously sick lakini usishangae wakasema ameenda kusimamia kikao cha maandalizi kabambe ya kulipiza kisasi.
Another fool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…