Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Iran mwenyewe kakiri mifumo yake ya ulinzi imeuawa na wanajeshi wake 4 wameuawa na wengine kujeruhiwa na kambi zake baadhi zimeharibiwa lakini wewe mfia dini wa tandale unabisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilipita Syria na Iraq na kuteleza hadi Iran.Anga la Iraq
Unapoteza muda tu hiyo jamii ni wabishi kwenye ukweli live, walibisha kuhusu Saddam, Ghadaffi, Osama, nk ila baadae hutuliaNakupa video kabisa mlivyopokea kipigo, huyu Iran ndiye alikua tegemeo lenu, sasa hamna lingine, mtawezaje kufanikisha lile agizo mliloachiwa kwenye maandiko la kufuta Wayahudi
View attachment 3137463
Jf the home of Great Thinkers....irani ni mchumba tu kwa myahudii...nyahu aongeze vilainishi tuu pale
Na wewe ulivyo popoma umeletewa video Israel akipigwa ukajua ndio Iran anapigwaUnapoteza muda tu hiyo jamii ni wabishi kwenye ukweli live, walibisha kuhusu Saddam, Ghadaffi, Osama, nk ila baadae hutulia
Sijui huwa wanabishania nini wakati jamaaamekiri wameingiliwa na wamafanyiwa na madhara ni makubwaIran mwenyewe kakiri mifumo yake ya ulinzi imeuawa na wanajeshi wake 4 wameuawa na wengine kujeruhiwa na kambi zake baadhi zimeharibiwa lakini wewe mfia dini wa tandale unabisha
Madhara ni makubwa.Sijui huwa wanabishania nini wakati jamaaamekiri wameingiliwa na wamafanyiwa na madhara ni makubwa
Kwa lugha zako unonekana ndio duka la Jumla la upopomaNa wewe ulivyo popoma umeletewa video Israel akipigwa ukajua ndio Iran anapigwa
Makondoo kazi mnayo
Unajadiliana na mwenye akili, huyu mjinga juzi alituma video wakati Israel ikipigwa na Iran akidai ndo shambulizi la Iran.Jifunze mijadala! Matusi ni dalili ya ulemavu wa uelewa.
Ingekuwa uko sawa usingekubali hata kudanganywa kitoto kama hivyo.Kwa lugha zako unonekana ndio duka la Jumla la upopoma
Wanaonesha ukilaza. Halafu kubustiwa hawatakiUnajadiliana na mwenye akili, huyu mjinga juzi alituma video wakati Israel ikipigwa na Iran akidai ndo shambulizi la Iran.
Hata Ayatolah akiuwawa watabisha kuwa kafa bila kudondosha Kilemba.Unapoteza muda tu hiyo jamii ni wabishi kwenye ukweli live, walibisha kuhusu Saddam, Ghadaffi, Osama, nk ila baadae hutulia
FaqHata Ayatolah akiuwawa watabisha kuwa kafa bila kudondosha Kilemba.
HahahahHata Ayatolah akiuwawa watabisha kuwa kafa bila kudondosha Kilemba.
Inashangaza sana kwamba aliyepigwa(Iran) anasema "Nimepigwa". Mataifa yanatoa habari kwamba kweli jamaa kapigwa halafu anatokea mtu pembeni "shabiki maandazi" tena wa kijiweni huku Rau madukani anasema Iran hajapigwa bali alikuwa anapangua makombora. Hawa mashabiki cjui walitaka apigwe kiasi gani ndo waseme eee sasa Amepigwa?? Inaonekana Mashabiki hawa hawana huruma hata kidogo. Walitaka Iran isawazishwe kuwa kifusi? IDF ni wastaarabu na wamechagua kwa makini na baada ya kupewa ushauri mahali pa kufinya ili Iran na Proxies wake (HAMAS, Hezbollah na Houthis) wapate maumivu makali na ya muda mrefu.Iran mwenyewe kakiri mifumo yake ya ulinzi imeuawa na wanajeshi wake 4 wameuawa na wengine kujeruhiwa na kambi zake baadhi zimeharibiwa lakini wewe mfia dini wa tandale unabisha
Ayatollah baada ya shambulio lile la uck kuamkia J'mosi, sasa hv yupo seriously sick lakini usishangae wakasema ameenda kusimamia kikao cha maandalizi kabambe ya kulipiza kisasi.Hata Ayatolah akiuwawa watabisha kuwa kafa bila kudondosha Kilemba.
Malizia.......na kupiga Targets sawia kama maelekezo yalivyotolewa na kurudi salama Israel.Zilipita Syria na Iraq na kuteleza hadi Iran.
Another foolAyatollah baada ya shambulio lile la uck kuamkia J'mosi, sasa hv yupo seriously sick lakini usishangae wakasema ameenda kusimamia kikao cha maandalizi kabambe ya kulipiza kisasi.