Mifumo ya Rada ya Iran ilidukuliwa kabla ndege za Israel kufika, ndio maana walijipigia walivyotaka na kugeuza bila tatizo

Marubani wa zile Fighter jets za IDF walikuwa ni Wasichana wabichi kabisa walikuwa wameziachia Nywele zao huku wakitoa Dozi 😆😁 wakato huo huo Ayatolah yuko kwenye Shimo🤣🤣
 
Yaan Israel ni kama mandonga akipigwa amepiga,akipiga amepiga duuh wiki nzima tutasikia kelele hizi hizi haya sasa nyie mmepiga sana pako uchi Iran Rudini tena mpige radar zote ziko chali, sisi tutakua na Subra mpaka muda utakapofika wa promise 3 nyie endeleeni
 
Muwe mnafuatilia taarifa mbalimbali professionally siyo kwa ushabiki wa simba na Yanga.

Usahihi ni kwamba, mifumo ya radar ya Iran, iliyopo Syria na Iraq ilipigwa kwanza ili kuzuia hizo ndege za Israel zisionekane zikiwa njiani kuelekea kuidhambulia Iran.

Katika kushambulia, baadhi ya ndege zilishambulia zikiwa zimeingia kwenye anga la Iran. Na nyingine zilishambulia, zikiwa mpakani mwa Iraq na Iran lakini zikiwa ndani ya anga la Iraq.

MAtukio hayo yote, Iran imeyafikisha kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa, ambapo Iran ina malalamiko mawili:

1) Ndege za Israel kuingia anga la Iran bila ya kibali
2) kuishambulia Iran
 

Ustadh umeokoteza wapi video, mbona mnajazana ujinga, nimekupa video iliyochukuliwa na raia wa Iran, tena unawaskia wakibwatuka yale maupuzi yenu Akbar Akbar
 
Kwa nini watanzania tunashabikia vita?
 
Iran yy hurusha vikombora vingi ila mzayuni anaingia kwake anapiga kwa usahihi na kuondoka
 
Story tu hizo, kama walizidukuwa kwanini waliishia kwenye anga ya Iraq? Na kufanya mashambulizi kwa uwoga mkubwa
 
😂😂😂
 
Iran yy hurusha vikombora vingi ila mzayuni anaingia kwake anapiga kwa usahihi na kuondoka
Iran upiganaji wake hauna tofauti na Hamas, Hizbullah, Houth yaan wao kurusha mawe tu hawana mbinu nyingine.
 
Utawaokota machizi wenzako na member wapya wasiokujua ,.
Cheo cha upropaganda kwa jf umeshika ww na kipanya
Ila nahis nyie ni mtu mmoja
 
Iran upiganaji wake hauna tofauti na Hamas, Hizbullah, Houth yaan wao kurusha mawe tu hawana mbinu nyingine.
Israel ina nyumba za viooo alafu inaleta shobooo si tunatupaa maweee ooh mawe ....
hio Ngoma kali xnaa toka kwa mwanangu nyandu tozzy
 
Inshort ayatollah alikua uchi, wayahudi wakaingia wakajipigia walivyotaka kisha wakaondoka.
Inasemekana operation iliendesheshwa na marubani wa kike
Kumbe ni wakikee ndio maana likafeli hilo shambulio ,,next time watume wanaume kama wako lakin
Maana taifa limejaa mashoga hilo
 
Ustadh umeokoteza wapi video, mbona mnajazana ujinga, nimekupa video iliyochukuliwa na raia wa Iran, tena unawaskia wakibwatuka yale maupuzi yenu Akbar Akbar
Kila mtu anayo hio video yako toka October 1, kila mtu anajua ni video ya makombora ya Iran, unamdanganya nani humu? Ama unadhani JF nzima ni mambumbu utawadanganya tu? lete source yoyote kubwa ya video yako kwamba ni shambulio la juzi.

Video yangu ni live toka Al jazeera na ukicopy link utaona inatoka page ya Al Jazeera YouTube.
 

Bila shaka mdukuzi mkuu ukukuwa hapo sokoni Gikomba ukiuza nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…