Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hizi taarab tushazizoea baada ya Uchaguzi kutakua na jipya ganiKwanza Haujavaa hijab wewe.
Sasa ni kwambie kitu? Wala haihitaji Degree ya juu kutambua kuwa Israel imefanikiwa kwenye hilo shambulizi. Ndege zote zimerudi salama. Ni suala la muda tu, maayatollah wako siku zao are numbered. Na walivyowajinga watajichanganya tu, baada ya uchaguzi wa USA kumalizika na hapo ndipo watamaliziwa
Acha kupotosha mabomu yalirushwa kutokea Iraq ndege hazikuingia kwenye anga la Iran. Mnaongea uongo kwa faida ya naniNdege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Shambulizi limefeli, 200 ballistic missiles utalinganisha na hii minor attack?Kwanza Haujavaa hijab wewe.
Sasa ni kwambie kitu? Wala haihitaji Degree ya juu kutambua kuwa Israel imefanikiwa kwenye hilo shambulizi. Ndege zote zimerudi salama. Ni suala la muda tu, maayatollah wako siku zao are numbered. Na walivyowajinga watajichanganya tu, baada ya uchaguzi wa USA kumalizika na hapo ndipo watamaliziwa
Yani AA guns iwe ina speed ya namna ile kwenye interception na kwa umbali ule!??Video clip za AA guns anga la Iran hujaziona?
Bavar-373 wana batteries ngapi na Iran ina ukubwa gani? Au unahisi ukishakuwa na AD system chache tiyari umetosheleza mahitaji ya nchi.
Mpaka leo Urusi haijawahi jitosheleza na AD systems na inazo maelfu kuliko nchi yoyote duniani na inaunda tokea miaka ya 1970s uko, we unaisema Bavar na vimifumo vingine vya miaka ya juzi.
Acha kupotosha mabomu yalirushwa kutokea Iraq ndege hazikuingia kwenye anga la Iran. Mnaongea uongo kwa faida ya nani
Sawa chizi mwenzanguPunguza uchizi kidogo!
Iran playing down attack is good news, says analyst
The fact that Iran is downplaying Israel's strikes on the country is "good news," an analyst has told our US partner network NBC News.
Iran said earlier that the attacks caused only "limited damage in certain areas".
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Tanzania ilipopata uhuru kwan ilikuwaje .ukijibu hil bila shaka amna haja ya kuulizaPalestine wapate uhuru afu iweje?
Wewe Islamist, tulia. Kwani vipigo mlivyonavyo vinasaba kiwewe. Gaza mlisema mnashinda vita. Mmechakazwa mpaka muasisi wa October 7 akamaliziwa. Lebanon, ndiyo usiseme. Iran ndiyo hivyo hamkuweza tungua hata ndege moja. Nyinyi mngeleta ndege zenu Israel, sijui kama ingerudi hata moja. Sasa nikwambiye kijacho?Shambulizi limefeli, 200 ballistic missiles utalinganisha na hii minor attack?
Taqqya ( kusema uongo ili kutete uislm, kaallah na Paedophile Muhammad) iko kwenye damu zenu.Sasa ulitegemea zikiwa nje ya anga la Iran zisirudi salama?? Au unaamini ziliingia kwenye anga la Iran?? Punguza mahaba na tumia akili yako vizuri hata kama unayo ndogo!
Iranian Military Claims Israel Used Iraqi Airspace To Fire Missiles At Iran Targets |
Iranian Military Claims Israel Used Iraqi Airspace To Fire Missiles At Iran Targets | Watch
Iran alleged Israel of blatantly violating international law during its attack on 26 October. The general staff of the armed forces of the Islamic Republic of Iran Gen Md Bagheri claimed that Israel used Iraqi airspace to conduct the attack on Iran. Gen Bagheri also threatened both Israel and...timesofindia.indiatimes.com
Israeli warplanes have conducted attacks on Iran from Iraqi airspace, according to Iran’s mission to the United Nations.
Israel bombs Iran: As it happened
Israel has conducted retaliatory strikes against Iran, the Israel Defense Forces has confirmedwww.rt.com
Wewe ni
Nilikua nadhani wewe ni mbobevu wa masuala ya kijeshi i was wrong kumbe ni Muangaliaji movie tu huna unalojua ,haufatilii taarifa unangoja zipostiwe humu JF .
Israel imetumia 100 fighter jet kushambilia Iran kupitia inchi jiran zake (zilitoa permission kutumika anga zao ) haikuingia ndani ya anga la Iran, ndege 100 ni airstrike kubwa haiitaji kukongaja siku mbili wala satellite images kujua madhara, Israel imefeli maandalizi makubwa impact zero ..
View: https://youtu.be/SGlkJERPmwo?si=qUyZUjNrUhp-qdZc
ndege mia na makombora na drone 500 ambazo hazijaleta madhara yeyote kipi ndo bure kabisaNaunga mkono hoja huyo mchafuzi anangojea satellite images eti kujua madhara ya ndege mia kwanza anajua ndege mia idadi yake israhell bure kabisa
Kobaz wanasema wewe uwaonyeshe kwanza hizo ndege 100 zilipokua kwenye anga la IRAN ili na wao wakuonyeshe walivyo zitungua.Wataelewa sasa yaan ndege 100 kwa anga lako afu utuambie hakuna madhara. Hawa kobaz bwana. Basi watuoneshe ndege walizozilipua
Hata Mimi nilitaka kumuuliza vipi meli za Israel sasa zinapita Red Sea?Meli zinapita pale ambapo Houthi walisema hazitapita hili ndio lakujadili
Nimekudharau sana, mimi ni mlokole pure kabisa ila sipendi uonevu na najua maandiko sio kidogo so mnapokuja na propaganda zenu hizi sijui taifa teule mkapotoshe kwingine sio mimi.Wewe Islamist, tulia.
Nilisema na nani? kikundi cha rebels huwa ni guerilla warfare sio kushinda vita kila mtu alisema kiasi gani wata hold back hao wayahudi. Maana wanapigana defensive war sio offensive.Gaza mlisema mnashinda vita.
Kavae Burka/Niqab/Hijab wewe msichana.Sasa ulitegemea zikiwa nje ya anga la Iran zisirudi salama?? Au unaamini ziliingia kwenye anga la Iran?? Punguza mahaba na tumia akili yako vizuri hata kama unayo ndogo!
Iranian Military Claims Israel Used Iraqi Airspace To Fire Missiles At Iran Targets |
Iranian Military Claims Israel Used Iraqi Airspace To Fire Missiles At Iran Targets | Watch
Iran alleged Israel of blatantly violating international law during its attack on 26 October. The general staff of the armed forces of the Islamic Republic of Iran Gen Md Bagheri claimed that Israel used Iraqi airspace to conduct the attack on Iran. Gen Bagheri also threatened both Israel and...timesofindia.indiatimes.com
Israeli warplanes have conducted attacks on Iran from Iraqi airspace, according to Iran’s mission to the United Nations.
Israel bombs Iran: As it happened
Israel has conducted retaliatory strikes against Iran, the Israel Defense Forces has confirmedwww.rt.com
Kuwaelewa wazayuni wa jf unatakiwa usiwe na akili kama waoHata Mimi nilitaka kumuuliza vipi meli za Israel sasa zinapita Red Sea?
Unachekesha sana stay tune kwa sasa Iran aina mfumo wa ulinzi na ndio maana wakilipiza yatakayo wapata nimakubwa stay tuneUsiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!
Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!
Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!
Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900
Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!
Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.
Source: Reuters
Mzayuni wa jf funga hata sabufa hapo kwa hio kichwaWewe Islamist, tulia. Kwani vipigo mlivyonavyo vinasaba kiwewe. Gaza mlisema mnashinda vita. Mmechakazwa mpaka muasisi wa October 7 akamaliziwa. Lebanon, ndiyo usiseme. Iran ndiyo hivyo hamkuweza tungua hata ndege moja. Nyinyi mngeleta ndege zenu Israel, sijui kama ingerudi hata moja. Sasa nikwambiye kijacho?
1. Kule USA Trump ndiyo huyo anashinda uchaguzi. Waislamu wenzio kule Michigan, wamezinduka na kuona ni afadhali wampe sapoti. Wale wanaoimba from the river to the sea, deportation inawasubiri
2. Your Muslim brotherhood inayochochea vurugu kule Marekani their days are numbered
3. Maayatollah wenu hao ambao wewe Sunni kwa ujinga wako unajiegemesha kwao, serikali ya Maayatollah wake kule Iran their days are numbered.
4. Vita kati ya Sunni na Shia inarudi kwa kile kinachoendelea kule Lebanon. Sasa ndiyo utajua haujui. Sijui utakuwa upande gani popo wewe
Kama hujatuonesha kaburi la put in unatakiwa upuuzwe wewe na koments zako sababu itakua tunabishana na mtu hana kichwaUnachekesha sana stay tune kwa sasa Iran aina mfumo wa ulinzi na ndio maana wakilipiza yatakayo wapata nimakubwa stay tune