MIGA italifilisi taifa. Serikali imsikilize Nguli wa Sheria na Hekima Tundu Lissu

Ili Tanzania tutoke, tunamwitaji sana Tundu Lissu atuongoze
 
Chezeya mzee wa miga weweee

Cc Kijogoodi johnthebaptist thetallest mr chopa Kinuju Kiturilo Etwege Elitwege Kamanda Asiyechoka Idugunde the witch
 
Agenda yake si USHOGA? Ndipo tatizo lilipo
ushoga mnao huko ccm maana ndio agenda yenu makonda alipojaribu kupamba nao dicteta alimuonya aache maramoja sasa ushoga nan ni agenda yake kama sio ccm hata huyo shaka wenu ni mtu wa shughuli za mombasa na mkibisha nitawawekea clip yake hapa mumuone kiongoz wenu anavyopumuliwa.
 

Weka clip
 
Kama mambo yako yamepinda pinda na yapo ki-ujanja ujanja na upo ccm Tundu Lisu utamuona kama MWIBA yaani hafai.
Ila kiuhalisia ILE NI ZAWADI KWA TANZANIA
Namkubali hasa kwenye kutamka wazi walioitafuna hii nchi hamung’unyi hata chembe ya neno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…