Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nani aliyekulazimisha ufanye hayo?Kwani hauna utashi?Usikwepeshe hoja kwa kuweka kioja kisicho na mashiko wala uhusiano.Kama nchi,CCM imeshindwa kusikiliza ushauri mwema wa kisheria kutoka kwa TAML!Matokeo yake ndiyo hizi fedheha.Na muendelee kukaza shingo kwa kuzusha miuongo isiyo na tija kwa taifa.Mkuu huwezi kufanya kitu haramu halafu ikataka kukifanya kiwe halali mazingira yetu na tamaduni zetu haziruhusu