MIGA italifilisi taifa. Serikali imsikilize Nguli wa Sheria na Hekima Tundu Lissu

MIGA italifilisi taifa. Serikali imsikilize Nguli wa Sheria na Hekima Tundu Lissu

Mkuu huwezi kufanya kitu haramu halafu ikataka kukifanya kiwe halali mazingira yetu na tamaduni zetu haziruhusu
Nani aliyekulazimisha ufanye hayo?Kwani hauna utashi?Usikwepeshe hoja kwa kuweka kioja kisicho na mashiko wala uhusiano.Kama nchi,CCM imeshindwa kusikiliza ushauri mwema wa kisheria kutoka kwa TAML!Matokeo yake ndiyo hizi fedheha.Na muendelee kukaza shingo kwa kuzusha miuongo isiyo na tija kwa taifa.
 
Kama mambo yako yamepinda pinda na yapo ki-ujanja ujanja na upo ccm Tundu Lisu utamuona kama MWIBA yaani hafai.
Ila kiuhalisia ILE NI ZAWADI KWA TANZANIA
Namkubali hasa kwenye kutamka wazi walioitafuna hii nchi hamung’unyi hata chembe ya neno!
Man of God. Waovu tu ndio hawampendi lakini Watz wanamtaka huyu Bwana. Hii ilithibitika wakati wa Kampeni 2020
 
Lakini sio yeye peke yake. Kuna Kundi Kubwa lilikuwa nyuma yake. Kumlaum yeye pekee nikumwonea.
Alikuwa na uwezo wa kufanya mazuri pia kama ambavyo amefanya..!! Hukumbuki kauli yake kwamba yeye hasikilizi ushauri..!!??
 
Mimi naona waharakishe tu kutufilisi, pengine itasaidia kupunguza kasi yetu ya kukopa pesa na kupeleka Zanziar kwa wala urojo, naomba waharakishe zoezi la kutufilisi hili taifa.
 
Agenda yake si USHOGA? Ndipo tatizo lilipo
Hii concept ni ya kijinga sana kwanza CDM haisapoti uchoko, pili serikali yenyew ipo bega kwa bega na wazee wa upinde. Ndio maan hata enz za jiwe lugola alikana kauli ya makonda kuhusu ushoga na kusema sio kauli ya gavoo that means they accept that shit!!
 
Alikuwa na uwezo wa kufanya mazuri pia kama ambavyo amefanya..!! Hukumbuki kauli yake kwamba yeye hasikilizi ushauri..!!??
Daah yaani Nchi ilikuwa imepata Rais Mzuri sijui alikwama wapi
 
Hii concept ni ya kijinga sana kwanza CDM haisapoti uchoko, pili serikali yenyew ipo bega kwa bega na wazee wa upinde. Ndio maan hata enz za jiwe lugola alikana kauli ya makonda kuhusu ushoga na kusema sio kauli ya gavoo that means they accept that shit!!
Bora umemwambia asitake tuanze kuchimbua kila kitu hapa
 
Jiwe ameliweka taif hili kwenye matatizo makuubwa sana
Babu ccm yote ni wajaa laana sie yeye tu. Chama chao na mfumo wote unaowaweka pale umejaa watu wenye laana waroho wa kulitafuna nchi wasio na chembe na nia ya dhati kuipeleka mbele nchi. Wote ni majizi kwa nyakati zao huku wakitupooza kwa kipande cha mkate kwa kujua fika akili za wadanganyika zilivyo.
 
Nani aliyekulazimisha ufanye hayo?Kwani hauna utashi?Usikwepeshe hoja kwa kuweka kioja kisicho na mashiko wala uhusiano.Kama nchi,CCM imeshindwa kusikiliza ushauri mwema wa kisheria kutoka kwa TAML!Matokeo yake ndiyo hizi fedheha.Na muendelee kukaza shingo kwa kuzusha miuongo isiyo na tija kwa taifa.
Upo sahihi ✔️
 
He is a victor' you can not conquer a Victor"

Tundu ni Mshindi, ona anavyopendwa na kushangiliwa na watu wengi akiwa hana hata chombo chochote cha habari lakini wananchi wanajua alipo na mikutano yake.

You can not make him fell, God is with Him. This Man is a living Miracle.
 
Back
Top Bottom