MIGA italifilisi taifa. Serikali imsikilize Nguli wa Sheria na Hekima Tundu Lissu

Wonderful quote
 
Naweza kukubalian na wewe kuwa CCM wanawekwa madRakani na kundi la watu fulani. Wala sio kura za wananchi.
 
Etwege mzee wa MIGA anatosha kabisa kujibu Uzi wako
Huyu mtu, michango yake hapa JF huwa inanishangaza sana! Wakati mwingine, huwa najiuliza kuwa, hivi ni kweli na yeye mwenyewe huwa anakiamini ambacho huwa anakiandika humu JF!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…