binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Sahihi.Jamii zote ambazo wanawake ni tegemezi sana kwa wanaume na ni za kidini sana, GBV iko juu, wanawake wanapigika, wanachapika haswa na kuuwawa zaidi. Iwe katika mahusiano au ndani ya ndoa kabisa.
Hata kama hujui kusoma basi angalia hata picha mkuu hivyo tuHayajakukuta, waulize vizuri mawakili wa kesi za ndoa. Watu wanapelekana mahakamani kwa ugomvi mkubwa halafu siku ya kesi wanakuja wote mahakamani kwenye gari moja tena wamevaa mashati ya kufanana😁
Huu mtanange hauwezi kuisha maana nimesema HUMAN NATURE.Soma vizuri nimesema wanaume wajifunze uvumilivu maana yake wawe wakomavu wasikimbilie kuua
Soma vizuri sijasema mvumilie usaliti ila muwe na mioyo migumu na imara kukabiliana na mambo kama hayo sio kukurupuka kuua
✍️Turudi kwenye enzi za jando na unyago ndipo tutaweza kuishi kwa amani.
Kwa hali ilivyo sasa, mahusiano mengi yamegeuka kuwa fursa kwa wanawake, of which mwanaume akijua umemgeuza fursa au unamtumia kwa namna moja ama nyingine kwa nature yetu mwanamke hapo omba Mungu tu jamaa awe mtu asiye na kisasi cha damu na nyama.
Tukija kwenye suala la kuuana kwa wanandoa, wanawake ndiyo wanaongoza kuua waume zao INDIRECTLY, tofauti na wanaume ambao huwa wanaua DIRECTLY.
Hili wala siyo la kushangaza, ni jambo ambalo lipo toka enzi na enzi.
Ndugu mdau,Nonsense hii gentlemen unaua kisa usaliti ambao pengine hata hujauthibitisha
Huku wewe mwenyewe ni msaliti wa kutupwa?
Et tamaa ya mali ukute unahonga aftatu unataka kuua mtu
Ona huu upuuzi mpaka leo karne ya 21Mimi kabira langu mwanamke hawezi kuhudhuria KWENYE kikao Cha ukoo lakini watoto wadogo wa kiume wanaingia
Awe ameolewa au amezaliwa haruhusiwi kuingia ..
We nae ebu nipishe hata sikuelewiNdugu mdau,
kwanza hebu relax na utulize mihemko useless kidogo jukwaani,
Lakini pia,
bado mawaidha na msisitizo wangu uko pale pale,
ni muhimu sana kua waaminifu, wastahilivu na wenye subra katika ndoa au mahusiano, otherwise vitendo nonsense kama hivyo vya kutoana uhai haviwezi kukomaa kamwe katika jamii.
suluhisho la kudumu kwenye hiyo songombingo ni hilo tu ndugu mdau wa jf 🐒
Imagine, hata mimi nimeanza kubana suruali zangu na kuziwekea zipi kwa chini, hii yote ni kufanya nionekane kijana.Siku hizi simu janja (Smartphones) zimefanya hata sisi Wazee wa mwaka 47 kuji-tune kuendana na Kasi ya vijana 🤗
Wazee tulipoanza kukataliwa na mabinti vigori (Enzi za Fataki na maambukizi ya HIV) kulipelekea tuanze kupaka piko ili kuondoa mvi na kuanzisha ule msemo maarufu wa "Uzee mwisho Chalinze"
Ni upuuzi lakin ndo ukweli wenyeweOna huu upuuzi mpaka leo karne ya 21
Shida ni dunia ilipoamua kunyang'anya ubingwa Me kupitia mashirika ya ufeminism ilihali Me hana utetezi wowote, mbona miaka ya nyuma hapakuwa na matukio aina hii kwa wingi?*Kikubwa wanaume tusiue ila wanawake usile pesa ya mwanaume kama Hauna malengo nae .
*Mwanamke muache tamaaa kama mwanaume hakufai acha Mali zake ukaolewe pengine
*mwanamke humpendi mwanaume Bado pesa yake unakula
Na kwa sasa hali ya uchumi ni mbaya mtakufa kama SISImizi
Narudia wanaume tusiue wanawake
Ndio hamuwezi kwa sababu roho zenu ndogo ukomavu kiwango ni zero ndio maana mnakurupka kuamua bila busara na kuishia kuuaHuu mtanange hauwezi kuisha maana nimesema HUMAN NATURE.
Hauwezi kumfundisha mtu kitu ambacho hakipo kwenye nature yake ni sawa na kumkataza mwanamke na UREMBO.
Kwa mwanamme hawezi kuvumilia ,hakuna hata mmoja mwenye kifua hicho.
Just imagine mtu kama CHIVAYO Ze Bilionea aliachana na mkewe ,Ze Bilionea Lugumi hana mke ,Mengi naye aliachana na Mkewe ,Biligate kaachana na mkewe ,ELon hana Mke list ni ndefu sana! Nataka kusema ni kwamba Mwanamme hawezi kufake life kuishi eti anavumilia uJINGA tofauti na mwanamke ambaye anaweza kuishi na mtu ndani halafu hampendi hata KIDOGO kwa kufeki feki kibongo movie movie.
Kwani kuitwa feminist utakufa?. Mi hata niitwe shetani sawa tu hata humu jukwaani kuna mtu aliwahi kuniita lesbian kisa kukemea hayo hayo masuala ya unyanyasaji. Hatutakiwi kunyamaza,hadi wajukuu zetu watauwawa tukikaa kimya.Ona tatizo lingine wanawake kuogopa kusema wakiogopa makombola ya wanaume wanaogopa kuitwa feminist
Huyo mchungaji ilifaa apingwe vitality tena hadharani
Angalia hii post wanaume walivyo na umoja njoo kwetu sasa ujinga tu
Wanawake wamekuwa wanapigwa nyakati zote na kuuwawa pia katika visa vya mapenzi, lakini pia zamani ilikuwa kawaida mtu kuwa NWA wake wengi hata watano.Shida ni dunia ilipoamua kunyang'anywa ubingwa Me kupitia mashirika ya ufeminism ilihali Me hana utetezi wowote, mbona miaka ya nyuma hapakuwa na matukio aina hii kwa wingi?
Waafrika tulikuwa tuna sifa nzuri tu kimahusiano hadi tuliposaliti mila na desturi zetu na kuiga western cultures.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Mwanaume cyo mnafiki KWENYE mahusiano ya ndoa kama ameamua kukueka ndani ,,unataka Mwanaume awe na roho ngumu kwa kuvumilia upuuzi ?Ndio hamuwezi kwa sababu roho zenu ndogo ukomavu kiwango ni zero ndio maana mnakurupka kuamua bila busara na kuishia kuua
Wanawake jiwekeni vizuri kiuchumi na mpunguze tamaa.
Hivyo vifo, huo wivu wa mapenzi unaotajwa kwa kiasi kikubwa ni ile jamaa amehudumia kwa muda mrefu mwisho anaambulia dharau au maumivu, kitu ambacho kinaepukika ikiwa mwanamke hutakua tegemezi kwa mwanaume.
Na ukiwa tegemezi sana ndio hiyo mtu anakuona kama mtumwa wake na sio mke/mpenzi.
Na mwisho mjifunze kupigana sio kila siku mnadundwa nyie tu, kwani hamli mkashiba?
Yes,We nae ebu nipishe hata sikuelewi
Na hatutakaa kimya lazima tukatae huu ukatili ambao umefanywa jambo la kawaidaKwani kuitwa feminist utakufa?. Mi hata niitwe shetani sawa tu hata humu jukwaani kuna mtu aliwahi kuniita lesbian kisa kukemea hayo hayo masuala ya unyanyasaji. Hatutakiwi kunyamaza,hadi wajukuu zetu watauwawa tukikaa kimya.