Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

ni muhimu na ni vizuri sana kua waaminifu, wastahilivu na wenye subra sana kwenye ndoa au mahusiano yoyote yale, vinginevyo mtajisogezea vita na mafarakano yanayoweza kupelekea mauti miongoni mwenu, kwa furaha ya muda mfupi tu.šŸ’
Oyaa vipi Mwanangu... Mbona serikali yako inataka kutugombanisha na wazee wetu wa kimila.

Tuwaambie nini El ninho imeingia mitini ?
 
Kwa mtazamo wangu, migogoro pamoja na mauaji kwenye mahusiano ya kindoa ama mahusiano ya mtu na mpenzi wake, yanachangiwa na mambo kadhaa

āœ“Uchepukaji, mke akiolewa atambue kwamba hatakiwi kuchepuka. Iwapo utachepuka, mumeo akajua, sio rahisi kukusamehe. Atakutafutia angle lazima akuue ama amuue huyo mgoni wake

Na kwa wale waliopo kwenye mahusiano ila hawana ndoa, ukichepuka na huyo mpenzi wako ndiyo alikuwa anakulipia Kodi na kukuhudumia, anaweza kuchukua uamuzi wa kukuua ama kukuumiza

āœ“Mali, mume akijua una mpango wa kumdhurumu jasho lake, anaweza kukupoteza pia ili abaki na jasho lake

Nashukuru Mungu, mke wangu hadi hapa tulipofikia, sijamwona akiwa na hayo mawili

Kuna mtu(sio bibienu) nilitaka kumfanyia hilo, maana nilijua kumgharamia mjinga yule, useme roho wa Mungu alinijaza ujasiri wa kusamehe, vinginevyo nilitaka kuchukua uamuzi wa kumfuta kabisa.

Anyways, Fimbo ya mbali haiui nyoka
Hivi inakuaje mpaka wanandoa wanataka kudhulumiana mali?!
 
Turudi kwenye enzi za jando na unyago ndipo tutaweza kuishi kwa amani.

Kwa hali ilivyo sasa, mahusiano mengi yamegeuka kuwa fursa kwa wanawake, of which mwanaume akijua umemgeuza fursa au unamtumia kwa namna moja ama nyingine kwa nature yetu mwanamke hapo omba Mungu tu jamaa awe mtu asiye na kisasi cha damu na nyama.

Tukija kwenye suala la kuuana kwa wanandoa, wanawake ndiyo wanaongoza kuua waume zao INDIRECTLY, tofauti na wanaume ambao huwa wanaua DIRECTLY.

Hili wala siyo la kushangaza, ni jambo ambalo lipo toka enzi na enzi.
Wanawake ndio wanaongoza kuua wanaume
hizi ni takwimu za wapi au unaleta theory hapa mkuu?

Acheni kutuua Period
 
Oyaa vipi Mwanangu... Mbona serikali yako inataka kutugombanisha na wazee wetu wa kimila.

Tuwaambie nini El ninho imeingia mitini ?
Gentleman,
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi,

hakuna haja ya kuhamisha mjadala kwa porojo zingine jukwaani plz šŸ’
 
Ona tatizo lingine wanawake kuogopa kusema wakiogopa makombola ya wanaume wanaogopa kuitwa feminist

Huyo mchungaji ilifaa apingwe vita tena hadharani

Angalia hii post wanaume walivyo na umoja njoo kwetu sasa ujinga tu
Yaani wanawake hamna umoja kabisa. Itakuwa na nyie mna changamoto flani ya akili tofauti na yetu.

Mnaposhirikiana ni kwenye kuimba mapambio tu kanisani.
 
Imagine, hata mimi nimeanza kubana suruali zangu na kuziwekea zipi kwa chini, hii yote ni kufanya nionekane kijana.

Pia najitahidi sana kusikiliza nyimbo za hawa sijui akina harmonize na diamond n.k, zile nyimbo zangu za Ottu Jazz, OSS, DDC mlimani park nazisikiliza nikiwa mwenyewe tena kwa kijificha Ili nisionekane Mzee.
Mimi nimeamua kubaki na Uzee wangu, maana nimegundua hata niki-act kuwa Kijana, mjukuu akisema anisusie, kazi ndiyo siwezi tena

Nitaishia kuwaomba Kiko na kuwasimulia hadithi za mwaka 47 tu šŸ™ŒšŸ¤Ŗ

Bora tumezeeka sasa šŸ¤—
 
Gentleman,
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi,

hakuna haja ya kuhamisha mjadala kwa porojo zingine jukwaani plz šŸ’
Kama uliyopigwa na mganga bhasi huna tofauti na hao panya wanaouana mana wote mnaenda bila kichwa.
 
Mpaka wewe ama kweli
Narudia wewe huna haki ya kukatisha maisha ya mtu kama ni huduma dai fidia
Haki mbinguni,Duniani mapambano.Ni jino kwa jino na jicho kwa jicho.Siwezi kiwa na 40 yrs,nimejipinda miaka yote nahangaika kuwa na familia na kipato kisha tuje kuachana kitokana na usaliti ili nianze moja-huku wewe ukichekelea,hiyo kitu haipo.
 
Na wewe unaenda kuozea jela maisha yako yote, unasifia kuua kama vile huyo mwanamke una hati miliki nae, wafundisheni wadogo zenu kua dunia hii cha peke yako kaburi tu
Sio wote wanaua wanzozea jela,kuna wengine wanaweka mipango vizuri sana hawakamatwi na kuna wengine wanaua pasipo kudhamilia huwa wanaachiliwa.
Issue ni kuwa watoto wanakuwa wanajua alimuua Mama yao,hapo ndio.kimbembe
 
Hivi inakuaje mpaka wanandoa wanataka kudhulumiana mali?!
Kuna Wanawake huwa na tabia ya kumiliki vikubwa tu

Akishaona mume ana biashara yenye returns nzuri ya 5m hadi 50 kwa mwezi baada ya matumizi, anaona bora hiyo hela ibaki kwenye mikono yake

Ndiyo hapo anaingia tamaa ya kumuua mumewe na kubaki na hizo Mali

Saivi wanawake wengi wa Kinyakyusa, nimeona wameanza kuwa na hiyo tabia.

Unakuta mume amefariki halafu yeye amebaki na duka.

Niliwaona sana pale Kabwe madukani
 
Hiyo Idadi ni ndogo sana ukilinganisha na Idadi jumla ya watanzania milion 60+

Leta takwimu za vifo kwa ajali za Bodaboda Kwa siku

Leta takwimu za vifo kwa ajali za magari

In a nutshell siungi mkono mtu yoyote kuua mtu yoyote. Ila dada zetu kuweni makini sana. Dunia imebadirika watu wana misongo ya mawazo. Kama mtu anaweza kujiua anashindwaje kukuua.


Acheni Tabia za kudanga mwisho wake ni mbaya!

Acheni Tabia za kuww kimaslahi na wanaume

Kama humpendi mtu acha kula Hela zake


Na nyie wanaume acheni Tabia za kutoa Kwa mwanamke usichoweza kupoteza. Give what you can afford to lose! Toa kama sadaka usisubiri returns hata likitokea lolote uwe in safe zone.
 
Alie wambia 50 kwa 50 aliwadanganya sana ,sijui alimanisha Nini .
Hiv mwanaume 50 kwa 50 na mwanamke.?
Nashindwa kuwaeleeewaaaaaaa!!
Ni kweli lakini si kwa njia za UTAPELI/JANJAJANJA/UDANGAJI/UMA-LIAR
1791464572011.png
 
Hiyo Idadi ni ndogo sana ukilinganisha na Idadi jumla ya watanzania milion 60+

Leta takwimu za vifo kwa ajali za Bodaboda Kwa siku

Leta takwimu za vifo kwa ajali za magari

In a nutshell siungi mkono mtu yoyote kuua mtu yoyote. Ila dada zetu kuweni makini sana. Dunia imebadirika watu wana misongo ya mawazo. Kama mtu anaweza kujiua anashindwaje kukuua.


Acheni Tabia za kudanga mwisho wake ni mbaya!

Acheni Tabia za kuww kimaslahi na wanaume

Kama humpendi mtu acha kula Hela zake


Na nyie wanaume acheni Tabia za kutoa Kwa mwanamke usichoweza kupoteza. Give what you can afford to lose! Toa kama sadaka usisubiri returns hata likitokea lolote uwe in safe zone.
Mkuu,na wanaume wanaoua wanawake kwa sababu za ajabu eg mtoto kakojoa kitandani, nini maoni yako??.
 
Back
Top Bottom