secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mimi bado sijakataa tamaa, japo mwili unakataa ila najilazimisha tu.Mimi nimeamua kubaki na Uzee wangu, maana nimegundua hata niki-act kuwa Kijana, mjukuu akisema anisusie, kazi ndiyo siwezi tena
Nitaishia kuwaomba Kiko na kuwasimulia hadithi za mwaka 47 tu 🙌🤪
Bora tumezeeka sasa 🤗
Kinachonitia moyo ni huku kusifiwa na wajukuu, kuwa najua sana shughuli..., japo sijui kama ndo naambiwa ukweli au napakwa tu mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuwa huwa nahonga kama sina akili nzuri vile!
Sauti ya ndani inaniambia nisiopacha kujitutumua nitafia kifuani mwa mjukuu...🥲