Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 2,231
- 3,737
Huo msemo ni wa uswahilini, ukiwa mtu usiyeweza kustahimili changamoto unaambiwa una roho ndogo.Ki vip mkuu
Hujasikia kuna mtu alijinyonga kisa ameambiwa na mke wake watoto siyo wake😀
Huo msemo ni wa uswahilini, ukiwa mtu usiyeweza kustahimili changamoto unaambiwa una roho ndogo.Ki vip mkuu
Ukiona mtu hakufai muache kwanini umuueUsariti+Tamaa ni janga
Demu
Ana muuza chips
Boda boda
Boss kaziini
Bwana nyumbani
Usife kweli
Mi nadhani kuepo na mdahalo wanawake mkanyane na mshauliane
Wanaume tusiue
Neno usaliti kwenye andiko lako limetokea mara moja tu hapo chini 👇Ni kweli hujaona nikisema siungi mkono usaliti kwa pande zote mkuu
Au ulitaka niseme vipi?
Wanaume, mkubali mkatae, mna udhaifu ambao mnatakiwa kuushinda
Kujifunza kustahimili maumivu rejection usaliti na kuvunjika moyo ni sehemu ya kukomaa
Basi nyie wanaume mna roho za kukuHuo msemo ni wa uswahilini, ukiwa mtu usiyeweza kustahimili changamoto unaambiwa una roho ndogo.
Hujasikia kuna mtu alijinyonga kisa ameambiwa na mke wake watoto siyo wake😀
WSuala la ajali za barabarani na ukatili wa kijinsia unapaswa kujadiliwa kwa hati ya dharura bungeni. Wanaume pia wana malalamiko yao wayaseme.
Note✍️.ngoja niandike Uzi ulioshiba kuliomba bunge lijadili na litoke na mazimioSuala la ajali za barabarani na ukatili wa kijinsia unapaswa kujadiliwa kwa hati ya dharura bungeni. Wanaume pia wana malalamiko yao wayaseme.
My dear nipo shock kwa comment za wanaume nimeishiwa nguvuKipenzi, wanaume wa hii nchi sahau kama watabadilika. Malezi wanayopewa huko majumbani, yanawafanya wao wajione miungu watu. Imagine mtu anakua kwenye utamaduni ambao mtoto mdogo wa kiume anapigiwa magoti na mwanamke mkubwa akiwa anapewa chakula. Unategemea huyu mtoto akikua mkubwa atachukulia mwanamke kama binadamu au atamuona kama ng'ombe tu??. Sisi wanawake ndo tuhamasishane kukataa ukatili. Na ukatili hua hauanzi mkubwa,unaanza kidogo kidogo. Tuwaambie mabinti zetu" ukipigwa kofi kimbia, ukitishiwa kwa maneno kimbia".uhai ndo muhimu zaidi vingine vyote vinatafutwa. Ila wanawake unakuta ndo tunaambiana" kofi tu unaondoka,bibi zetu walivumilia vipigo, wanaume wote ndo wapo hivyo". Mwisho wa siku mtu anauwawa. Unyanyasaji utakomeshwa na sisi wanawake sio kusubiri wanyanyasaji watuonee huruma.
Tamaa za mali hazijawahi kumwacha mtu yeyote salama.
Yaani mkuu, mtu anaedundwa halafu anabaki huwa simuelewi na sitokaa nimuelewe. Hivi ile hofu tu ya kibinadamu hawana?. Yaani unakaa nyumba moja na mtu anakudunda hadi unazimia? Tena unalala nae kitanda kimoja. Watu wana mioyo jamani.Huwa wanaamini labda atabadilika, na wanapenda kubembelezwa na kudanganywa danganywa.
Jitu linamdunda ila bado kaliganda, kumbe mchana akibondwa usiku anabembelezwa na kuletewa zawadi anapoa na kusahau.
Shida kwa sisi wanaume sasa, ukinisaliti sijui uongee kingereza gani upunguze maumivu ya kuchapiwa, hatubembelezeki na mbaya zaidi sisi sio wafariji wazuri wa sisi kwa sisi, hatujui kufarijiana kwenye mahusiano.
Kweli kabisaTamaa za mali haijawahi kumwacha mtu yeyote salama.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Iko wazi, so you've to be careful, fuata mstari mnyoofu ukipinda tu na ukabainika ndo basi tena.Kwa lugha nyepesi ni kwamba wanaume wengi hawana uwezo wa kudhiti hisia zao yani ni wadhaifu.
Wamelelewa kwenye huo huo ukatili unategemea nini?. Mtu amekua anashuhudia baba anampiga mama unategemea asije kumpiga mke wake?. Na kuna wanawake pia wanatetea huu ushetani, hapo ndo utachoka zaidi. Mwanamke ukizaliwa Afrika maisha tayari yameshakupiga 1-0, usipojipambania hakuna atakaekupambania.My dear nipo shock kwa comment za wanaume nimeishiwa nguvu
Siamini ninachokisoma hapa
Jamii gani hii katili hivi 😭💔💔
Uwezo wao ni mdogo wa kuhimili mamboKwa lugha nyepesi ni kwamba wanaume wengi hawana uwezo wa kudhiti hisia zao yani ni wadhaifu.
Kwamba tukae bila mahusiano? Au sijakuelewaSa hivi wameng’ang’ania ka point kao ka tamaa ya mali, hizo takwimu hapo ngapi zinaonesha mauaji yamefanyika sababu ya tamaa/ugomvi wa mali?
Mi natoa wito kwa wanawake wenzangu, it’s either muwe wapole au muache kuhusiana na hawa watu, Walahi mtaisha kweli.
Wanaume, mkubali mkatae, mna udhaifu ambao mnatakiwa kuushinda
Kujifunza kustahimili maumivu rejection usaliti na kuvunjika moyo ni sehemu ya kukomaa
Nashwenda kuwelewa ,umesema wanaume wajifunze kuvumilia usaliti ,Je wanawake nao wajifunze kuvumilia au walipize? Mimi nashauri tena ukiona mme ni malaya dawa ni kuachana naye na si kulipiza kwenda naye sawa ,mwanamme hajaumbwa kuvumilia USALITI the same kwa mwanamke.Nani alisema mwanamke ameumbwa kuvumilia ushenzi wa mwanaume
Mbona mwanamke mwingine akishindwa akaamua kuondoka mnaanza tena lawama
Aibu yenu nyie wanaume wabinafsi
Jamii zote ambazo wanawake ni tegemezi sana kwa wanaume na ni za kidini sana, GBV iko juu, wanawake wanapigika, wanachapika haswa na kuuwawa zaidi. Iwe katika mahusiano au ndani ya ndoa kabisa.And somehow wapata hivyo vyote, Unadhani kuna mtu atamshauri huyu mtu asikie?
Kuuana kunakuja baada ya kutapeliana au kukiuka makubaliano?
Nafikiri kwa jinsi ilivyo kila mwanamke anafurahia kupokea, suala linakuja nani anapokea nini, kwa nani na kwa makubaliano gani.
Wanaume pia hawajawahi kuacha kutoa, Hapa nazungumzia mambo ya mahusiano sio ndoa maana ndoa story iko tofauti. (Mke na mume wote wanapaswa kujenga familia yao, ni obligation sio ombi wala favor)
Aiseee hawa watu nakosa cha kusemaWamelelewa kwenye huo huo ukatili unategemea nini?. Mtu amekua anashuhudia baba anampiga mama unategemea asije kumpiga mke wake?. Na kuna wanawake pia wanatetea huu ushetani, hapo ndo utachoka zaidi. Mwanamke ukizaliwa Afrika maisha tayari yameshakupiga 1-0, usipojipambania hakuna atakaekupambania.
Mstari kama huu 👆 mwaka 47 ilikuwa ngumu kuuona, hii ni kusema hata sisi wazee sometimes tunatumia lugha ya vijana ili tueleweke kirahisi.muulize lini aliwahi tu kulipia Lodge ili Me aje amuweke?🤣
Utegemezi hapo nakazia, utegemezi.Jamii zote ambazo wanawake ni tegemezi sana kwa wanaume na ni za kidini sana, GBV iko juu, wanawake wanapigika, wanachapika haswa na kuuwawa zaidi. Iwe katika mahusiano au ndani ya ndoa kabisa.
Soma vizuri nimesema wanaume wajifunze uvumilivu maana yake wawe wakomavu wasikimbilie kuuaView attachment 3686777
Nashwenda kuwelewa ,umesema wanaume wajifunze kuvumilia usaliti ,Je wanawake nao wajifunze kuvumilia au walipize? Mimi nashauri tena ukiona mme ni malaya dawa ni kuachana naye na si kulipiza kwenda naye sawa ,mwanamme hajaumbwa kuvumilia USALITI the same kwa mwanamke.