Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Biologically, humans are animals. Between men and women, which sex generally has a greater biological desire for sexual intercourse?

Me kuwa na Ke wengi kimahusiano ni asili yake ila Ke ni umalaya tu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Acheni u selfish nyie wanaume
Mwanamke sio bidhaa
 
😂😂😂 Badilisheni point basi,hii imeshaexpire jamani,kwanza kwa wanyama hakuna jike anakuwaga na dume mmoja.pili wanyama hawana utashi kama sisi, ndio maana kwa wanyama jike linapandwa na baba yake au kaka yake. Na sisi turuhusu hayo maana na sisi ni wanyama eti ??.
 
Acheni u selfish nyie wanaume
Mwanamke sio bidhaa
Nimetoka kuangalia habari The Chanzo, naona mke anatishiwa kuuwawa na mumewe kisa anabeba mimba zinaharibika. Siku akiuwawa (maana huyo dada bado yupo na huyo mwanaume) wanaume watakuja kusema ni haki alivyomuua maana huyo mwanamke labda anaharibu mimba kwa makusudi. Hao ndo African men.
 
😂😂😂 Badilisheni point basi,hii imeshaexpire jamani,kwanza kwa wanyama hakuna jike anakuwaga na dume mmoja.pili wanyama hawana utashi kama sisi, ndio maana kwa wanyama jike linapandwa na baba yake au kaka yake. Na sisi turuhusu hayo maana na sisi ni wanyama eti ??.
Hata kimahusiano tu unaelewa vizuri yupi kati yenu huhitaji mara kwa mara kulombana mbali na Ke anayekuwaga na ashki baada tu ya kutoka kwenye hedhi.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Nimetoka kuangalia habari The Chanzo, naona mke anatishiwa kuuwawa na mumewe kisa anabeba mimba zinaharibika. Siku akiuwawa (maana huyo dada bado yupo na huyo mwanaume) wanaume watakuja kusema ni haki alivyomuua maana huyo mwanamke labda anaharibu mimba kwa makusudi. Hao ndo African men.
Kwani kalazimishwa kuwa na huyo mwanaume si aishi mwenye we
 
Kuna wanawake wana zile fikra za " vumilia" ndo kama huyo. Mtu kamtamkia atamuua,yeye bado yupo.
Katika maisha mwanamke huwezi kukimbia umiliki wa mwanaume either:

1. Uolewe
2. Kazini
3. Biashara
4. Udange na kujiuza
5. Ulime na kufuga nk

Kiuhalisia Kila angle yenu ya maisha inamtegemea mwanaume
 
Hiyo ni records chache sana kurecordiwa ila idadi ya wanawake wanao uwawa ni Mara mbili ya hiyo.

Msingi wa haya yote ni nini ? Si kingine ni tamaa.

Mimi sio muumini wa haya mauaji ila vijana wanapata hela kwa uchungu sana .

mwisho wa siku wanawake wenye kauli chafu kama " sikukutuma" wanaishia kuchukua mali hzo na kuwa matapeli wa mapenzi.

Mwisho wake ni nini ? Sababisho la vifo vya kikatili.

When greed exceeds your capacity to think, you may eventually walk yourself into a brutal death.

A woman can be the very trigger that exposes how far uncontrolled desire can take you.

Never let the hunger for wealth that was never yours overpower your judgment greed can make you pay the ultimate price.

Wanawake mjifunze kujipambania kama si hivyo wengi watakufa kabla ya siku si zao.
 
Na ndio chanzo cha kuwashiana mioto hicho, sema hawa wanawake akishakupa mbususu anaona kamaliza madeni yote kwako kiasi kwamba hata kama umemhonga jumba la ikulu akishakupa papa mara moja anahisi kashamalizana nawewe hivyo humdai hata akienda kwa mwingine sio kesi

ShesRise_1
Hahahahaa hatari sana ,wanajidanganya.
 
Nje ya mada: Nakushauri fungua shirika lako, upiganie haki za wanawake. Naona u feminist unakufaa sana.
Hivi unajua nchi nyingi zenye uchumi wenye nguvu na siasa zenye ushawishi kama China na Russia as examples.

Zmepiga marufuku kabisa haki za wanawake Wanaharakati wa feminist wamekumbana na censorship, surveillance na ukandamizaji.

Mimi hua naona upande wa ndoa , urithi na vyeo vya ajira tusizingatie usawa, mwanaume awe superior.

Nliwahi enda hapo US embassy dar es salaam
Kuna mama mmoja anacheo kikubwa ni ambassador extraordinary hapo.

Hiyo arrogant yao ukiwa na roho nyepesi unaweza rudi nyumbani. 😄

The point is

Women in positions of power sometimes forget the purpose of their responsibilities and allow pride to take precedence over duty.
 
Mimi bado sijakataa tamaa, japo mwili unakataa ila najilazimisha tu.

Kinachonitia moyo ni huku kusifiwa na wajukuu, kuwa najua sana shughu..., japo sijui kama ndo naambiwa ukweli au napakwa tu mafuta kwa migongo wa chupa kwa kuwa huwa na nahonga kama sina akili nzuri vile!

Sauti ya ndani inaniambia nisiopacha kujitutumua nitafia kifuani mwa mjukuu...🥲
😅😅

Jitahidi uwe jirani na dawa zako za Presha, unaweza jikuta askari anayefia vitani 😅

Binafsi nimebaki kucheza na Wajukuu tu, sio zaidi 🤪
 
Aiseee ajabu sana mali inafanya uue pyuu
Ndiyo hivyo, japo nahisi wakati mwingine wanakuwa wanachoka kupigwa matukio

Kuna Wanaume wenzetu, licha ya umri kusogea kama huu wangu, lakini bado wanawapiga matukio wake zao

Nahisi hili pia linachangia, mke anaona bora akuondoe abaki analea watoto huku akibaki na mali zote chini yake

Ndoa zina mengi mjukuu 🥲
 
Katika maisha mwanamke huwezi kukimbia umiliki wa mwanaume either:

1. Uolewe
2. Kazini
3. Biashara
4. Udange na kujiuza
5. Ulime na kufuga nk

Kiuhalisia Kila angle yenu ya maisha inamtegemea mwanaume
😂😂😂😂. Fikra za mwaka 47.
 
Hiyo ni records chache sana kurecordiwa ila idadi ya wanawake wanao uwawa ni Mara mbili ya hiyo.

Msingi wa haya yote ni nini ? Si kingine ni tamaa.

Mimi sio muumini wa haya mauaji ila vijana wanapata hela kwa uchungu sana .

mwisho wa siku wanawake wenye kauli chafu kama " sikukutuma" wanaishia kuchukua mali hzo na kuwa matapeli wa mapenzi.

Mwisho wake ni nini ? Sababisho la vifo vya kikatili.

When greed exceeds your capacity to think, you may eventually walk yourself into a brutal death.

A woman can be the very trigger that exposes how far uncontrolled desire can take you.

Never let the hunger for wealth that was never yours overpower your judgment greed can make you pay the ultimate price.

Wanawake mjifunze kujipambania kama si hivyo wengi watakufa kabla ya siku si zao.
Wanawake wanaouwawa kwa sababu tofauti na tamaa?. Watetee wanaume kwenye hilo basi maana kuna wanaouwawa kisa mtoto kakojoa kitandani.
 
Back
Top Bottom