Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 775
- 1,712
Lakini pia tamaa haiingii kwenye mali tu tunapo zungumza tamaa ni angle zote.Wanaouwawa kisa mali ni familia bora ambazo ni chache hapa kwetu. Huko vijijini kwenye umaskini wa kutupwa ndo wanawake wanauwawa zaidi ni vile takwimu hazichukuliwi na hayaripotiwi popote maana familia zinamaliza kimyakimya.
Kuna wanawake wanapenda sana wanaume zaidi ya mmoja hii ni nini ? Ni tamaa pia.