Naingia hapa kwenye pointya
The Worst
Mkuu, point yetu haijabase kwenye mali yenyewe tunaongelea investment na sacrifice.
Mtu anafanya kazi kwa nguvu, anaamka usiku, anahangaika kutafuta pesa.
mwisho wa siku sehemu kubwa ya juhudi zake inaenda kumhudumia partner wake kumlisha, kumvisha na kuhakikisha anaishi vizuri.
Sasa imagine baada ya all that, anakuja kuona kwamba yule mwanamke anaendelea kuwa na mahusiano na wanaume wengine.
Na akimuuliza, jibu linakuwa
Sikukutuma unifanyie hayo yote.
Unadhani frustration, betrayal na wivu haviwezi kujenga mazingira hatari?.
Hapa si justification ya violence ni kujaribu kuelewa psychology ya mtu anayehisi kwamba years of sacrifice zake hazina value.
huku akiona mtu mwingine akifaidika nazo.
Kwa hiyo swali si kama kila mwanaume atafikia hatua ya kufanya kitu kibaya.
swali ni how much emotional pressure can resentment, jealousy and perceived betrayal create before someone loses control ?