ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,828
- 5,728
Mbona na wewe umeng'ang'ania kuua.!Wanaume wa kitanzania mnaitaji darasa la ukomavu na maarifa
Manaendeshwa na mihemko
Fikiria ukiua unapata nini
Zaidi ya kujutia milele
Kwaiyo ule vya watu kwa muda wote kisha ukatombeshe kwengine
Unajua hii kitu hata wewe mlalamikaji jinsia Ke ukimsimulia babako ndicho ulichofanya kama kweli lijali yeye atakuzika kabla ya muhusika
Haya yote ni madhara ya watoto wa kike waliolelewa bila baba au mahanisi ya kiume