Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Wanawake mna sahau kuwa nyie ni kama mauwa tu, ila mnaenda mbele na kutaka kuwa mabeberu ndani ya nyumba.Sa hivi wameng’ang’ania ka point kao ka tamaa ya mali, hizo takwimu hapo ngapi zinaonesha mauaji yamefanyika sababu ya tamaa/ugomvi wa mali?
Mi natoa wito kwa wanawake wenzangu, it’s either muwe wapole au muache kuhusiana na hawa watu, Walahi mtaisha kweli.
Feminine energy is declining every day