StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Mkuu,mimi kuutunza mwili wangu sio suala la mjadala kwa sababu najua Mungu aliposema "Usizini" alikuwa na nia ya kuniepusha na nini.Wewe ulieoa mwanamke wa ndoto zako umetulia?
Usipoiheshimu Ndoa yako kwa kuutunza na kuuheshimu mwili wako hakuna mtu wa nje atakayeiheshimu. Heshima ya Ndoa inaanza na mwanandoa mwenyewe!
WAEBRANIA 13
4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
MITHALI 6
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.