Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Mauaji hayo asilimia kubwa ni mikoa ya nyanda za juu kusini na kanda ya ziwa,nashauri Elimu izidi kutolewa
 
Unaongelea nini mkuu?
Mama zetu wapi unaowasema

Wamezeeka kwenye ndoa za mateso wengine wamepata ulemavu wa kudumu na hata vifo

Ni ujinga kukaa kwenye ndoa ya manyanyaso ili tu uonekane umeolewa

Narudia tena acheni mihemko ya kuua jitulizeni muamue bila kuweweseka
Mtaepuka na kudhulumu uhai wa wengine
Miaka ya nyuma migogoro ya ndoa iliamuliwa kwa busara ,busara zenyewe ni wanawake kulazimishwa kuvumilia mateso na manyanyaso. Hata sasahivi busara za aina hiyo bado zipo sana hapa nchini.
 
Kwa hiyo wewe kuweka hivyo vitwakwimu vya miaka 3 ndiyo umeona vinatosha kufanya conclusion?

Mambo yako tofauti na unavyofikiria mkuu.
Nimeweka vitakwimu vyangu vya miaka 3 iliyopita sijui kwa sasa hali ni mbaya kiasi gani

Sasa wewe mjuzi wa mambo na unaejua zaidi weka takwimu tujadili kwa hoja

Usilete dhana hapa
 
Miaka ya nyuma migogoro ya ndoa iliamuliwa kwa busara ,busara zenyewe ni wanawake kulazimishwa kuvumilia mateso na manyanyaso. Hata sasahivi busara za aina hiyo bado zipo sana hapa nchini.
Bado ukandamizaji upo
Mwanamke anaambiwa afie ndoa ili asiitwe single mother
 
Back
Top Bottom