Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Hii ni kweli kabisa na nina ushahidi na hiliHuu mtanange hauwezi kuisha maana nimesema HUMAN NATURE.
Hauwezi kumfundisha mtu kitu ambacho hakipo kwenye nature yake ni sawa na kumkataza mwanamke na UREMBO.
Kwa mwanamme hawezi kuvumilia ,hakuna hata mmoja mwenye kifua hicho.
Just imagine mtu kama CHIVAYO Ze Bilionea aliachana na mkewe ,Ze Bilionea Lugumi hana mke ,Mengi naye aliachana na Mkewe ,Biligate kaachana na mkewe ,ELon hana Mke list ni ndefu sana! Nataka kusema ni kwamba Mwanamme hawezi kufake life kuishi eti anavumilia uJINGA tofauti na mwanamke ambaye anaweza kuishi na mtu ndani halafu hampendi hata KIDOGO kwa kufeki feki kibongo movie movie.
Iko hiviii, wakati nataka kuoa nilikuwa na choice nyingi sana aka bookings, sasa ikatokea nikaoa yule ambae namkubali kuliko wote Kuna mmoja hivi kumbe alinipenda sana ila katika maisha yake yote anachotamani ni ndoa hivyo akaenda kuolewa mke wa pili kwakuwa mm nilimwambia siwezi ongeza mke
Kiukweli ananipa mistory mingi huko aliko Yani yupo hapo kwa ajili tu aonekane nae ameolewa ila sio kuwa huyo mume anampenda na kwa Afrika hicho sio kitu cha ajabu ndoa bado ni kitu kikubwa sana kwa mwanamke kuliko kuishi bila ndoa ataonekana malaya