Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Asilimia kubwa ya vifo vimetokana na wivu wa mapenzi, na hapa kinachoongelewa ni usaliti uliosababishwa na tamaa, na waathirika wakubwa wa jiji kadhia ni wanawake sasa tuje kwenye hoja ya msingi:
1. Ni wanawake kuacha tamaa ya pesa au ya mali na kutumia ulaghai wa mapenzi ili kupata, punguzeni tamaa badala yake tumieni nguvu na uwezo aliopewa na Mungu kuchuma vya kwenu, msiifanye ndoa ndio ili mchume mali.
2. Ukisema wanaume waache, ilihali chanzo cha hayo yote ni usaliti wa wanawake itakuwa haujatibu tatizo nadhani liwekwe hivi, Wanawake kama mwanaume hauna mpango naye au haumtaki usile vya kwake wengine mnakimbilia kula chakula vya wanaume kwa kigezo cha namchuna bila kujua anapotia njia gani kuzipata hizo fedha, wengine wanazipata kwa njia ngumu sana sasa ukimfanyia ndivyo sivyo reaction yake ndio hiyo
Ningali nakumbuka kisa cha mtangazaji wa ITV ufoo Saro, alimpoteza mama yake mzazi, pamoja na mume wake kwa sababu ya haya haya mambo na yeye alijeruhiwa na jamaa alikusudia kuchapa wote risasi wafe bahati mbaya akafa yeye na mama mkwe wake. Wanawake wana jambo la kujifunza kwenye haya mambo pia